المدة الزمنية 16:25

KWA MARA YA KWANZA FABIAN NA ZAHIR WAONGEA MAZITO MGONJWA KUANZA TIBA | KANSA | CHIPS

بواسطة Maximum Tv Online
13 569 مشاهدة
0
262
تم نشره في 2021/06/08

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 251
  • @
    @subiraboi9397منذ 3 سنوات Subhana Allah yaarab tunajuwa huruma yako n nyingi kuliko yyote ya Allah tuhurumie waja wako na uwape shiffaa wagonjwa in shaa Allah 1
  • @
    @caslidajosephat8912منذ 3 سنوات Jose msafi kweli duh nimekupenda Jose, all in all mm napenda mnavyojituma hongereni na wote mliotoa michango. 6
  • @
    @mouwanahamisi8216منذ 3 سنوات Mung ataleta wepes in Sha Allah polen San kaka Zahir Na team yako mung awatie nguv afya subira Na uvumiliv 7
  • @
    @asmaally9958منذ 3 سنوات Duu pole sana mungu atafanya wepesi ilamdadilike kichwani 4
  • @
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7منذ 3 سنوات Allah atawaongezea nyote mliotoa mungu atamuafu kakayetu atapona INSHA'wallah Timu maxmamu Allah atawalipa Kwa kila jema 16
  • @
    @janethmagemakwakeliinauma3581منذ 3 سنوات Hongera kaka kwakazi nzuri mungu akulinde
  • @
    @fatmamamlo7882منذ 3 سنوات Alie wavunja nguvu yule fadina wallah watu wamekata tanaa Allah alete wepesi tujisukume michango iwe mingi inshallah 3
  • @
    @marialekinyi8382منذ 3 سنوات Mungu akuongoze kaka, katika majukumu yako, na mungu WA mbinguni amfanyie wepesi apone ili alee familia yake.
  • @
    @asiaghadija8333منذ 3 سنوات SubhanaAllah Allah akupe shifaa yaharaka 1
  • @
    @ummymzee5159منذ 3 سنوات Allah Atamughafu Inshaallah Kuugua Sio Kufa Kuumwa Ni Ibada Na Madhambi Hupunguziwa 2
  • @
    @kisalaTVمنذ 3 سنوات Asante mungu kwa afya uriyo nipa , sio mm ni msafi sana ila ni kwa upendo wako , pole sana kaka mungu atakusaidia utapona 1
  • @
    @munirachangawa2928منذ 3 سنوات Allahu yashfik.mungu atamuafu.tutajitahidi kuchanga kaka zahir 1
  • @
    @dottohamisi9844منذ 3 سنوات Hongereni sana kwa kazi mzuli sana mwenyezimungu atakulipa inshallah atapona 1
  • @
    @munaahmed8499منذ 3 سنوات Subhannallah hujafa hujaumbika inadam tuwacheni majigambo ktk dunia hii dahh
    kaka allah atakufanyia wepes utapata afuen insha allah
    1
  • @
    @mussamivache4986منذ 3 سنوات Vipimo vimeonesha anaumwa nini jmn, alafu msiongeze watu wengine hadi hawa waudumiwe kwanza ndugu maximum ili msilimbikize wagonjwa Mungu mwema awape afya njema atapona inshallah 27
  • @
    @fariarizaq7528منذ 3 سنوات Mashaallah mungu atakupa shifah inshaallah kaka na zahir mungu akubariki sana inshaallah na wesako pia 1
  • @
    @ameenaameena1224منذ 3 سنوات Mungu ampe shifaa yarabiii Dua kwako kaka ghangu 3
  • @
    @halishmwarua2957منذ 3 سنوات In sha Allah mungu hampe shufaa ya haraka Huyu mgonjwa hapunguze chips hale ugali na mboga ni wazo langu tu ndio hapate nguvu 6
  • @
    @Awateeمنذ 3 سنوات Inshallah ALLAH awafanyie wepes awahifadh dunian na akhera awape umri mref wenye kheir nanyi amiin 4
  • @
    @nasseradel9784منذ 3 سنوات Poleni kaka zangu mungu atasimama nayi
  • @
    @awenasuleiman4519منذ 3 سنوات Zahir unajitahid sana Allah asimame nawe 12
  • @
    @roselambert6700منذ 3 سنوات Mungu awabariki sana wote kwa upendo mkuu
  • @
    @sharinv8864منذ 3 سنوات Pole sana mgonjwa mungu akufanyie wepesi utapona.jamani heri mkono utowao kuliko unao pokea ulicho nacho towa ili uweze kubarikiwa unapata watu wana fedha id="hidden2" class="buttons"> lakini wanakunywa na kula tu hawajali wagonjwa pls nawaombeni wenzangu tuchange bila kujivuta. ....وسعت
  • @
    @nuruheartaman3466منذ 3 سنوات Dah mungu wasimamie mnapitia magumu sana 1
  • @
    @alibell5246منذ 3 سنوات Pole Sana mgonjwa kwa kuumwa allah atakuponya inshaallah 1
  • @
    @dechaggagirl1614منذ 3 سنوات Fabi bwana in shaa Allah atapona mgonjwa wety kwa uwezo wa Allah
  • @
    @violethswai8061منذ 3 سنوات Mwenyezi MUNGU awabariki na kuwalipa kwa wema wenu.
  • @
    @nasraabdallah850منذ 3 سنوات Sub hanallah pole sn kaka maskin Allah atakuwaf inn shaallah utapona
  • @
    @hanifatanzania7258منذ 3 سنوات Subuhanallah Allah Ampe wepesi apone lnshallah 12
  • @
    @ashuramhando5285منذ 3 سنوات Zahir Wallah wewe ni zaidi ya ndugu na ALLAH alikuchagua una Moyo aliliona hilo hakika wewe ni wakwake atakulinda 2
  • @
    @hamidaalhabsi8568منذ 3 سنوات Mungu atampa nafuu inshallah yaarabi atapona 1
  • @
    @Zahrazahra-ue7bpمنذ 3 سنوات Jamani twende mbere turudi nyuma uyo mwanamke ata akidamka muimbiri atoingia ndani kwasababu ana mtoto na vire mgeni allah awatirie wepes mnao msuurikia kua na subra zahri inshaallah 1
  • @
    @sabihahamadi2287منذ 3 سنوات Subuhanallah yarabi mpe shifaaaaa huyu kaka naumiya kwakweli
  • @
    @khadijasalum2302منذ 3 سنوات Allah yashfii yarrab pamoja na team ya maximum tv 7
  • @
    @rizikiabdalla3308منذ 3 سنوات Yarabi tupe mepesi usitupe mazito yarabi yaallah mpe shifaa mjawako huyo mpunguziee maumivu yarabi 1
  • @
    @sadasalum8778منذ 3 سنوات Kweli ni changamoto kweli kaka zahiri poleni sana,allah awanyooshee mkono inshaallah afanye wepes sana ktk hilii amiin 1
  • @
    @dorisurio8001منذ 3 سنوات Poleni Sana..mi ningekushauri mwanangu Zahir..hiyo nauli ya 20000 mngemtafuta mama Lishe mstaarabu awe anampa chakula na chai ,inaweza kutumika hata siku id="hidden4" class="buttons"> tatu kupunguza makali..na asichague chakula aridhike tuu Bora kiwe kimekamilika na mama aende hata Mara tatu kwa wiki ....وسعت
  • @
    @jasminjuma6390منذ 3 سنوات Subhanallah yarabi mfanyie wepesi mja wako huyu 1
  • @
    @mkosakuumbwamwendazake4254منذ 3 سنوات Fabby nyoa nywele bana uwe vizur kaz yko hairuhus uwe ivo kkangu asnt kwajuhud zenu max tv 3
  • @
    @rehemahramadhani3428منذ 3 سنوات daah. allah. atamsaidia. atapona. nyie. 2. hiv. nywel. zenu. munyoe. muwe. kawaida. il. huy. wifi. anaonekan hajawai kufika. dar es salam 5
  • @
    @fsaad5116منذ 3 سنوات Zakir silazima aende kila siku kama transport ndio ghali bora medical hiyo starehe ya kula badae ale tu kawaida mambo ni mengi. Mufanye yalo muhimu ya matibabu.
  • @
    @christinatarimo6026منذ 3 سنوات Kaka huyu mama awe anaenda Mara chache kwa wiki.hiyo 20000 ya nauli per day ni hatari 3
  • @
    @mouwanahamisi8216منذ 3 سنوات Leo nmewah si haba ngoj niendelee kusikiliz nishushe Dua 3
  • @
    @fsaad5116منذ 3 سنوات Jamani wako sawa kina fab musiwaingilie maisha yao jamani
  • @
    @roseatieno6691منذ 3 سنوات Mashalla Mungu atatenda . Fabian kumbe anaongea clean kabisa . 1
  • @
    @saadiaali5609منذ 3 سنوات Na apunguze kula kuku pia ajihurumie na ajitambuwe yy ni mgonjwa amekuja kutibiwa pesa ni za kutumwa na wananchi sasa ajihurumie maana kuna mke na watoto 1
  • @
    @halimakihame1744منذ 3 سنوات Da mtihani kwani wale wa dada hamjawapata mana hapo ndipo wanapo takiwa wasapoti huyu mama 1
  • @
    @QwQw-tr7gyمنذ 3 سنوات Wagonjwa wakiwa weng michango itadolola 8
  • @
    @zubedaliame474منذ 3 سنوات Mtihani kwakweli ningekua karibu ningemsaidia huyu dada kumpaa kapani ya kupelika muhimbili
  • @
    @Awateeمنذ 3 سنوات Polen kaka zangu Allah awape wepes na Subra insha Allah
  • @
    @ashasaid5061منذ 3 سنوات KAKA FABIAN POLE KWA KAZI NZITO NA KAKA JOSEPH 1
  • @
    @tifababynchimbi8454منذ 3 سنوات Jmn hicho kidonda nikiona tumbo linauma eeehe Mungu amsaidie tu jmn. 10
  • @
    @fairamkhan4744منذ 3 سنوات ka zahir jamn kwnn msingechukua chumba cha karibu na hospital Ili kuepusha usumbufu wa usafir na hao walivo wageni ni changamito kabsa 7
  • @
    @nadrahassan5241منذ 3 سنوات Jamani wasaidiwa waraisishieni wanao wasaidia unataka kula vizuri unadhani pesa inatoka wapi
  • @
    @salamanauthartanzania6301منذ 3 سنوات Kaka Zahir jitahidi ukileta mgonjwa dili nae hadi apone ndo ulete mgonjwa mwingine' ukileta wagonjwa mfululizo wengine watakosa msaada kaka 4