المدة الزمنية 2:29:21

LIVE​​: RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAAPISHA WAKUU WAA MIKOA WAPYA

بواسطة MrAmbition Online
77 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/05/19

#KaziIendelee​ #SSH​ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan atawaapisha: A)Wakuu wa Mikoa Wateule watakaoapishwa:- 1. Mhe. Amos Gabriel Makalla, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 2.Mhe. Omary Tebweta Mgumba,kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe 3.Mhe.Stephen Nzohabonayo Kagaigai,kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro 4.Mhe. Brig. Jen Wilbert Augustine Ibuge, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma 5.Mhe.Charles Makongoro Nyerere,kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara 6.Mhe.Brig. Jen Charles Mang’era Mbuge,kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera 7.Mhe. David Zacharia Kafulila, Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha 8.Mhe. Rosemary Staki Senyamule,kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita 9.Mhe.Mwanamvua Hoza Mrindoko,Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi 10.Mhe.Queen Cuthbert Sendiga, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa B) Katibu Mkuu na Watendaji Wakuu wa Taasisi 1.Ndg. Nenelwa Joyce Mwihambi, kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2.Ndg.Joseph Edward Sokoine, kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki 3.Ndg.Salum Rashid Hamduni, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa 4.Ndg. Sylvester Anthony Mwakitalu, kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka 5.Ndg.Joseph Sebastian Pande, kuwa Naibu Mkurugenzi Mashitaka 6.Ndg.Neema Mpembe Mwakalyelye, kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa [19-May-2021] #KaziIendelee​ #SSH​

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0