المدة الزمنية 1:21

JINSI YA KUKAANGA FISH FILLET

بواسطة Mapishi na Amanda
770 مشاهدة
0
11
تم نشره في 2020/09/10

karibu katika mapishi na Amanda, leo tunakaanga fish fillet yaani samaki asiyekuwa na mfupa mahitaji fish fillet vinegar au limao chumvi curry powder kutoka Amanda spices parsley karibu tupike wote kwenye channel yetu, kama ni mara yako ya kwanza usisahau kusubcribe channel yetu kwa mahitaji ya viungo vya kupikia kama curry powder inayoonekana hapo piga simu au WhatsApp no 0655406149 kwa huduma ya haraka zaidi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0