المدة الزمنية 4000

Serikali ya Kenya yalegeza msimamo wake mkali kuhusu mswaada wa fedha

بواسطة VOA Swahili
466 مشاهدة
0
7
تم نشره في 2023/06/14

Serikali ya Rais wa Kenya William Ruto inaonekana kulegeza msimamo mkali wake kuhusu mswaada wa fedha wa mwaka 2023 baada ya Kamati ya Fedha ya Bunge kuwasilisha mapendekezo mapya. Sikiliza maelezo ya afisa wa Bunge la Kenya kuhusu marekebisho yaliyofanywa na serikali kwa kuzingatia wito wa wananchi. #serikali #kenya #rais #williamruto #msimamo #mswaada #f#fedha #bajeti #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0