MAHARAGE YA MAZIWA
Mahitaji
•1/2 kilo Maharage laini yaliyochemshwa
•Mafuta yakula vijiko 4 vya chakula au kwakiasi upendacho
•vitunguu maji 2 ,
•Swaumu iliyosagwa kijiko 1 cha chakula
•Nyanya 3 kubwa (saga au sugua)
•Maziwa fresh vikombe 2 (ongeza zaidi ukipenda)
•Chumvi kwa ladha
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 33
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Ep. 07 Maharage ya Maziwa: