Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Buzuruga Mkoani Mwanza wakati akiwa Mkoani humo kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi zetu lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) na Kituo cha Makumbusho cha Bujora Mwanza
08 Septemba, 2021
#SSH
#KaziIendelee#
#Tanzania
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWASALIMIA WANANCHI WA BUZURUGA MKOANI MWANZA.: