المدة الزمنية 6:8

MAUAJI YA KUKATANA MAPANGA, TUMEWAKAMATA 58 NA WAMEKIRI, WALITELEKEZA MAGARI YAO— RPC TABORA

بواسطة Millard Ayo
17 190 مشاهدة
0
89
تم نشره في 2021/04/29

Jeshi la polisi mkoa wa Tabora limefanikiwa kukamata watuhumiwa 34 wanaojihusisha na matukio ya mauaji ya kukata mapanga katika maeneo tofauti ya mkoa huo. Taarifa iliyotolewa na kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora kamishna msaidizi wa Polisi Safia Jongo inasema watuhumiwa hao wamekiri kufanya matukio hayo na wengine wamekiri kukodiwa kwaajili ya matukio hayo. “Hawa wanakiri kufanya matukio mengi anakodiwa kama mtu mwingine anavyokodi gari anapewa 100,000 ndiyo huo mkoa wa Tabora ulivyo”Kamanda Tabora. Aidha,katika tukio jingine jeshi la polisi limefanikiwa kukamata magari mawili yaliyokuwa yanatumiwa na waharifu wa mtandao ambayo yalitelekezwa na waharifu hao.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 52