المدة الزمنية 19:13

Azam TV - MAHOJIANO MAALUM (): Dkt. Shika, afunguka A-Z kuhusu maisha yake ya 'kiki'

بواسطة Azam TV
96 255 مشاهدة
0
337
تم نشره في 2018/01/02

VUNJA MBAVU NA DKT. SHIKA: Ni moja kati ya vipindi vilivyofanyika mbashara kutoka Mlimani City Dar es Salaam siku ya kuufunga mwaka 2017. Dkt. Louis Shika kama mmoja wa watu waliopata umaarufu katika mwaka huo, naye alikuwepo. Tazama Mahojiano yake mwanzo hadi mwisho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 111
  • @
    @godfrey3926منذ 6 سنوات Why is everyone so negative here about this interview, you should all be ashamed of yourselves..This is fun or comic or whatever you want to call it and id="hidden1" class="buttons"> I think it's a great interview..They did it very well and Dr.Shika was right on point as always.A.K.a true comedian. ....وسعت 3
  • @
    @othumansuleiman6372منذ 6 سنوات Kuna maswali mhim mnameshimdwa kuuliza mnauliza ujinga tu! Kawaambia alikua balozi office ilikua Kenya eti imejamia marekani, swali lini na kwa nn hajawahi id="hidden2" class="buttons"> kwenda ofisini kwake na anapandishwa vp kz bila kuhudhuria kzn. Na kwa nn alipoendaga kahama aliahidi baada ya wiki mbili ama moja pesa itakua imeingia Tanzania mpaka leo haijaingia? Naahadi alizo ahidi kuke kahama suku zimeshapita anatoaje ama anafanyaje sasa maana ahadi ni deni. Na mengine mengi hamyahoji munahoji ujinga tu mabwege nyie.!!! ....وسعت 1
  • @
    @happinesskaali4750منذ 4 سنوات Tatizo hawa madada wanadhani wanaongea na chizi kwaiyo wanataka kuchekesha tu, ila dr.shika nitofaut na wengi tunavodhania, i like him honestly 1
  • @
    @josephkasika6755منذ 4 سنوات Jamani huyu Mzee yupo Sawa hali alionayo ni kutokana na background za Urusi, Kwa anaye fahamu watu wanaokwenda Urusi kusoma hasa science and engineering id="hidden3" class="buttons"> ni wa chache huwa wanarudi kwao wakiwa na akili timamu, wengi huwa walevi kupindukia nina ushahidi wa wasomi wawili walitoka huko wako hoi ni tabia ya Urusi kuhakikisha elimu usiende kunitumia huko uendako, Kwa huyu kuna mawili eidha walaitaka kumpokonya company na wampoteze au kampuni ilitumika vibaya na mataifa hasimu na Urusi hasa kwenye national security affairs. ....وسعت
  • @
    @amonamos8278منذ 4 سنوات Hawa wanauliza maswali kwa lengo la kutaka kujua kama yuko timamu kiakili au la.
    Acha wafanye kazi yao maana wanapima kama IQ yake iko sawa.
    1
  • @
    @maximillankitomary3143منذ 6 سنوات Aaaaaaghhh!!! watangazaji mmezingua sana, Mme base kwenye maswali ya familia yake wakat Mzee anavitu vingi vyaundani vya kumuuliza. Acheni kuiangusha AZAM TV bhana 1
  • @
    @memehhhahshshdhdhdمنذ 6 سنوات Watangazaji hamjui kuhoji, mngeandaa maswali kabla.yani hamjaandaa mtiririko mzuri wa maswali..mmeanza issue zingine hlf katikati mnaomba historia yake. 3
  • @
    @sciencearusha5951منذ 6 سنوات Ajira yenu inapaswa kuwa hatarini kabisa hamjui kazi yenu na huyo mzee mbababaishaji tuu 1
  • @
    @severinemabirika2249منذ 5 سنوات Yaaani.professionalism haipo kabisa hapo .maswali hafifu , mpangilio sifuri
  • @
    @herbertpeter7880منذ 6 سنوات AZAM MEDIA ni moja ya vituo vya habari ninavyoviamini kwelikweli, ila kwa hawa watangazaji, hapa hakuna watangazaji aiseee, ujue mzee Shika ni mtu mzima id="hidden6" class="buttons"> ana heshima zake, kiukweli huwezi ukamhoji maswali ya kitoto kiasi hicho aiseee, nyie wadada jifunzeni interview aisee is not any body can make an interview ....وسعت 7
  • @
    @Dakingyastaمنذ 6 سنوات hawa watangazaji wana uwezo mdogo sana wa kuhoji mada za msingi 2
  • @
    @shafiimkeremi7819منذ 6 سنوات Tatizo Shule Nmegundua Kwa Hawa Wa Dada, Tuwape Pole Zao .
  • @
    @musisahumbi2248منذ 6 سنوات Mnapwaya kwenye maswali hamjipangi mnauliza uliza tu 7
  • @
    @edmondjr17منذ 6 سنوات Swali moja mnalirudia mara mbili amjuwi ata kdg kbs 5
  • @
    @mgykaboza5601منذ 6 سنوات Doctor shishika shavu dodo haya maswali kila siku nihaya haya? Shika kiukweli toa ajila kwa vijana maana huna kipya unachoulizwa kipya tofauti na kampuni yako unaishije unavaaje unaela kiasi gani bosi wako Nani 4
  • @
    @idrisaabdulhakam7208منذ 5 سنوات Dah.haya maswali iseee not professional kabisa.huu ni upuuzi jaman dah
  • @
    @angellomarcel5677منذ 6 سنوات .naenda kufanya kazi Marekani.kuitumikia Dunia..
    Keep in touch.
    Iko siku tutaelewa.tu
    Jeshi alafu mchoma mkaa..?
    1
  • @
    @keizageruman6361منذ 6 سنوات Wee VP! Kwan meno ndio alama ya MTU mwenye PESA. Allaa! 2
  • @
    @maxmillianmocash1469منذ 5 سنوات Naomba kujua, ivi Azam ao watangazi kabla ya kuwapa ajira mliwafanyia interview ?
  • @
    @moziidavchonchi3338منذ 6 سنوات acheni upuuzi kusoma amjui hata picha izo mbanga za kichoko banaa 1
  • @
    @abdubabu5454منذ 6 سنوات Sasa mbona ulikaa sehem mbaya sana huko tabata kweli we mzee mh!!! 1
  • @
    @sciencearusha5951منذ 6 سنوات Ninyi wanawake mbona mnahoji kama kasuku? Hivi mmesomea hiyo taaluma kweli 1
  • @
    @saitotisaitoti6734منذ 6 سنوات Kwa hiyo nyie ndo mmetumwa na Azamtv kufanya kipindi maalum na maswali mepesi hivo utasema mtoto wa std seven anahoji mmekurupuka bila kujiandaa? Au mmekutana na Dr.shika bahati mbaya mkamdaka na kufanya kipindi? Yani hamjui kuhoji kiukweli.mmeizalilisha kampuni.hiko sio kipindi maalum kwa vijiswali hvo visivo na mpangilio khaa ....وسعت 7
  • @
    @lakisipesa7163منذ 6 سنوات Mulio sikia Ni audio hii nivideo kuweni na tasmini watu wengine nyinyi
  • @
    @stevenwawafishboyمنذ 6 سنوات Mngemhoji kuhusu balozi aliyekataa kusaini ila nyie mmemrukisha mada ,ameanza vizur kuweka mambo hadharani ila nyie mnahoji vitu ambavyo tushavifahamu id="hidden9" class="buttons"> mda mrefu alivyohojiwa ,
    Kama uko pamoja na mm like ACCOUNT YANGU
    ....وسعت 4
  • @
    @Rafikibonifaceمنذ 6 سنوات Dr.Shika tunakuzubiri ulaya sisi tuna kula Bata 1
  • @
    @Joseph2010201منذ 6 سنوات Aisee mnaiaibisha Azam TV. mtu makini kama huyo haitaji waandishi wenye mawazo mafupi kiasi hicho. 1
  • @
    @saidasimba9979منذ 6 سنوات swali la kuuliza moja wapo lilikua aoneshe wapi kunasema yeye in balozi na amepandishwa cheo . no rahis tu kujua huyo in muongo au mkweli . wewe mtu anateuliwa id="hidden10" class="buttons"> kuwa baloz miaka yote hiyo hafanyi kaz arafu anapandishwa cheo tena yeye nani bwana ....وسعت
  • @
    @othumansuleiman6372منذ 6 سنوات Nyie mademu niwasenge kweli, km ningekua boss wenu mngemaliza kipindi na kuunganisha kwenu kz hamna.
  • @
    @ikulutv622منذ 4 سنوات Haya matangazaji, vitangazaji au ni watangazaji waliosomea??!! Mbn wanatia kichefuchefu kbs!! Mzee ana nondo za kutosha lkn hojaji hamn kbs.
  • @
    @shadrackmnjelu5285منذ 6 سنوات Yan hujafanya kaz halaf ukapandishwa cheo na hiii ya ubaloz imeanza lini 1
  • @
    @thefuture2955منذ 6 سنوات Hivi kweli tupo serious. kuna matatizo mengi huko vijijini hbr zao hasikiki huyu jamaa anazingua
    stoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooop
  • @
    @olemollel5565منذ 5 سنوات Watangazaji vipi hawa tudisha shule jamaaaa
  • @
    @jacksonmathayo6510منذ 5 سنوات Watangazaji hovyo kabisaaaa maswali yakipumbavu tuu mfyuuuuuu 1
  • @
    @reenycolor2085منذ 6 سنوات Shule muhimu hawa madada ni mabogus, hakuna kitu hapo waandishi gani wanahoji maswali ya kipumbavu mfyuuuuuu
  • @
    @sharifa2274منذ 6 سنوات Chezea Dokta shika nyinyi mumeshindwa kumuuliza maswali yalioenda shule 3
  • @
    @joycemashikolo9096منذ 6 سنوات Urusi! urusi! urusi!kunani hapo lakini.wote waliosemea urusi akiri zao zote km doctor shika tu.
  • @
    @officialkamduduمنذ 4 سنوات tuvute subira ma_hela yaningia leo ni tarehe 30/01/2020 bado tuvute subira .
  • @
    @loner_wolfمنذ 6 سنوات Hawa watangazaji fake. Hawajui kuhoji mtu vzuri. Inakuwa kama mtu na wajukuu zake
  • @
    @jumaramadhani5861منذ 6 سنوات Hii sheria ya watangazaji kuwa na degree ina umuhimu sana hapa nchini 2
  • @
    @samsonkusupa8115منذ 6 سنوات pumbavu wote nyny watangazaji Low IQ mkakojoe mkalale 2
  • @
    @godfreykisuka1359منذ 6 سنوات stupid have no limit and ginius has limit madada nendeni shule 3
  • @
    @pascleshayo9740منذ 5 سنوات nyie wadada washamba mnakera maswali ya kipuuzi
  • @
    @neemakilomoni4258منذ 6 سنوات rudini shule mkasomee hiyo kazi sio mnakurupuka tu hajui jinsi ya kuuliza maswali Shika ana wazidi akila, 1
  • @
    @barikichichimu3502منذ 6 سنوات hawa watangazaji hawajui kumhoji mtu.tunamashaka na taalum yenu. 1
  • @
    @musisahumbi2248منذ 6 سنوات Yaan wako wawili na DR kawapoteza chaka 5
  • @
    @edlumala9428منذ 6 سنوات Huyu mzee ananikera kweli! Ye mjinga na anafanya watu wote wajinga! Hata pesa ya kula hana, anakwambia kaajiriwa na UN! Hata meno hana bwege 3
  • @
    @claverynyanda7409منذ 6 سنوات nyie madada hata hamjui kabisa kuhoji. Malaya nyie. 5
  • @
    @afropanorama4730منذ 6 سنوات huyu mzee anatufanya sisi sote mapimbi 1
  • @
    @valentinamussa4212منذ 6 سنوات hawa watangazaji tatizo wananyege sio kwa kujichekesha huko na kuuliza maswari vishawishi maybe wanaitaji sponser
  • @
    @pasquallungwa3517منذ 6 سنوات Hawa dizaini wanajifunza kuhoji mtu na huyo mzee kawaheshimu tu ila kwakweli hawana taaluma hiyo.
  • @
    @shafiimkeremi7819منذ 6 سنوات nyie wadada hamjaitendea haki taaluma yenu 2
  • @
    @mahmadougronkjaer8316منذ 6 سنوات nyie wadada mngejiandaa kwa maswali before kumuita shika ..huyo jamaa sio level yenu .ona tuswali mnavo muuliza.yan km millard ayo na victor wanyama.. 5