WIMBO Uliyoua WATU 100 Baada Ya KUUSIKILIZA!
Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake.
Inaelezwa kwamba kitendo cha kuachwa na mwanamke aliyekuwa akimpenda sana, kilimfanya apatwe na huzuni kali na msongo wa mawazo, na katika kipindi hicho ndipo alipopata wazo la kutunga mashairi na baadaye kuutengeneza wimbo huo.
#gloomysundaysong
/playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
@sir.lulenje4827منذ 5 سنواتDuuuh hataree Sana. Mi nlisalitiwa nikausikiliza huu wimbo badala ya kufa nmepata dem mwngne na tuko pa1 tunauskiliza na unatupa usngz mnonoooo 24
@lilianbilly5509منذ 3 سنواتKabla ya kuuskiliza nimeshuka chini kusoma comments nipe like kama na wewe umefanya ivo
@
@yirgayemyirgah7820منذ 5 سنواتDaaaah huo wimbo sio nimeuckia tu kidogo nkajikuta namkumbuk marehm mbwa wangu daaaah inauma sana
@
@paulmgoli4853منذ 5 سنواتMbn me nmesikiliza cjafa tn nmeweka repeat one nakua nalalia inanipa ucngizi mzuri Sana what a song 1
@
@mrishompemba9969منذ 5 سنواتulipoanzwa kuimbwa ngekufa apa ungentambua 6
@
@mubanassortz8849منذ 5 سنواتWIMBO HUU NAUFAHAM SANA NILIWAHI KUUSIKILIZA HABARI ZAKE
@
@tygaboydizzoمنذ 5 سنواتBro you're talented mungu awe Pamoja nawe bro
@
@zakiasadick580منذ 5 سنواتKibongo bongo ukiachwa unakomaa na status za vijembe tuwalah bongo sihami 14
@
@madamloveness7274منذ 5 سنواتYaan wanaume wa zamani walikuwa na upendo wa kweli kabisa ,ila siku hizi ukimwacha mwanaume anakutafuta akuuue kwa kukuchoma na moto 11
@micamathew6433منذ 5 سنواتAhhhh sawa tu mbn!!! Wajiue tu lkn ujue tu ukishafanya hivi, kule kwa Mungu Baba hutahurumiwa. So yaan usijefanya kitu kama hicho cha kujiua. Ni hatari kuliko kitu kingine chochote. Epuka.
@
@user-zj5mp9rk3kقبل 9 أشهرWalijiuaje maana me hapa nasikiliza huku nafua nguo
@
@violetvayo8358منذ 5 سنواتsasa Mimi niende kukiua nimesikili mpaka nine dawnilod 1
@
@fatmajumaa1069منذ 5 سنواتMimi liniachwa tangu mwaka 2008 nanikiujua wimbo huo nitajiuwa pia 3
@
@zuleyvendor6577منذ 5 سنواتWanaume wa zamani ulikuwa ukiwaacha wanaimba nyimbo za huzuni kujifajiri. Ila wanaume wa siku hz ni mashetani ukiwaacha wanakuwinda wakuuwe 30
@
@remiomar7154منذ 5 سنواتHata siuwelewi kwa karne hz tukiimba tutaonekana n mashizi maana hakuna anaeuwelewa 4
@
@mauwabijoux6966منذ 5 سنواتMaraba nimewahi kukuskiliza napenda story zako pia unasauti ya kuvutia ongera 4
@
@janabtv3664منذ 5 سنواتJe? Na kanyaga ingekuwa inauwa? Tanzania nzima bendera ingekuwa nusu mlingoti 36
@
@khayratmuhamed6730منذ 5 سنواتLol! Ki bongo ufe kwa ajil ya nyimbo haijawah kutokea 22
@
@boazmvellah6286منذ 5 سنواتDuuh mambo yanabadilika dunia ya sasa hv mtyu anasikia mziki anacheza ila miaka hyo ukisikia unakufwaaa
@
@marygaspary199منذ 5 سنواتNakumbuka simu zilipoanza kuingia Tanzania , tulikuwa tunasoma label ya simu zilizokuwa zikitoka Hungury. 4
@
@saidliko33منذ 5 سنواتGloomy Sunday ni nyimbo yenye hisia kali maana alieimba aliitumia kama sehem ya kulalamikia au kutolea machungu yake ndio maana kwa kila aliye na machungu magumu yaliushinda uvumiliv wa moyo
@
@zenahjuma439منذ 5 سنواتHahahhahahahahaaaa mkuje na kwetu tuwauwe na huku 2
@
@eunicejoseph3870منذ 5 سنواتIla sisi wa sasa HV hata tukiuskia hatufi ndio ujue watu wa sasa HV ni wabishi 9
@jumannemashaka2006منذ 5 سنواتJamani nikweli kabisa,hata Mimi nilijiua baada ya kuuckia huu wimbo 4
@
@erickmachua8829منذ 5 سنواتLeo umetudanganya.. Tafuta vizuri historia ya Huo Wimbo utajua kuwa ulichotusimulia Leo ni Kama zile Soga tulizokuwa tunasimuliwa na Bibi zetu. 1
@
@bintiiddy7043منذ 5 سنواتHembu wasanii wa bongo utafsirini huo wimbo kiswahili nami niskilize huenda nijiuwe na mimi maana nimeachwa 1
@
@hollymore4904منذ 5 سنواتNgoja no download io nyimbo niwatumie ma X wangu.wajiuwe 16
@
@ashab2537منذ 5 سنواتWanawake wa sasa tunawaza pesa sie, tufanyeje ili tuingize pesa, hizo song hazina nafasi kwa mkichwa wala mapenzi, yaani ukiachwa usijiumize tafuta mwingine azibe pengo upesi sana
@
@maliethnyoni2847منذ 5 سنواتMm kuna kipindi niliachwa na mwanaume ninaempenda kutoka moyoni nililia niliumia ila niliona bola niende dukani nikanunue maji masafi na kunywa na kulala tuu maisha yanenderea
@
@marrythomas8297منذ 5 سنواتSimulizi yako ndo imenifanya ninywe panadol.lakini siyo huo mwimbo ata sijauelewa kwahiyo sifi ng'ooo
مقاطع الفيديو ذات الصلة على WIMBO Uliyoua WATU 100 Baada Ya KUUSIKILIZA: