المدة الزمنية 4:2

KLEIN MNIBI - BURIANI LATE BENJAMIN MKAPA (Official video)

بواسطة Klein Mnibi
2 022 مشاهدة
0
99
تم نشره في 2020/07/29

#RIPMZEEMKAPA #KleinMnibi #MKAPA Mzee BENJAMIN WILIAM MKAPA Ameacha Alama Kubwa Na Haiwezi Kufutika Kwenye Taifa Letu, Kupitia Uongizi Wa Rais BENJAMIN MKAPA Tanzania sasa ipo Uchumi Wa kati Ikiongozwa Na Rais Wetu Mpendwa Dr. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, Kama si Kupitia uongozi Wa Rais BENJAMIN WILLIAM MKAPA Jengo la Bunge Tungeliona wapi, huu ni wimbo maalumu Kwa maombolezo katika kipindi hiki kigumu kutoka kwa mtumishi wa Mungu KLEIN MNIBI. Naungana na Watanzania wote kutoa pole kwa Familia ndugu na jamaa, na Watanzania wote. Artist KLEIN MNIBI Written by KLEIN MNIBI Produced by - Chief Elly Studio - Jerusalem studios #KLEINMNIBI #MKAPA #BURIANILATEBENJAMINMKAPA

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 31
  • @
    @kennedypapa91894 years ago Kwa kweli huu msiba umetokea ghafla Sana 3
  • @
    @magenichale65944 years ago Nice song klein,.. Soo sencesional and condorencing 🎶 1
  • @
    @magitamataro69984 years ago Safi sana homeboy.. Kazi nzuri sana🔥🔥🔥👏🏿👏🏿👏🏿
  • @
    @makoyekepha65494 years ago Home boi very touching song! All in all SINGING_talent was yours since MWAMOTO_S.D.A. ( PFC)
  • @
    @holyfieldlambe57884 years ago Uende ukalale mahala pema peponi Mzee Benjamin Mkapa.
  • @
    @blessingmwakalindile5854 years ago Fika mbali mwanangu..mbalii ktk yootee
  • @
    @jamesmillinga94634 years ago R.I.P mzee mkapa, tutakukumbuka daima.