المدة الزمنية 7:55

MPANDALUME ashikiri nguvu kazi za wananchi ujenzi wa Shule mpya Sekondari Busekwa.

بواسطة Tuntume Media
156 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/10/12

Mhe. Simon Mpandalume. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu amezindua ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Katika Kijiji Cha Busekwa kata ya Bujashi Ijumaa 08.10.2021 Mpandalume ameungana na Wananchi na Mhe. Diwani wa kata ya Bujashi Lucas Deleli kwa kushiriki kuchimba msingi wa vyumba vinne vya madarasa. Mpandalume amewahakikishia Wananchi kuwa iwapo watakamlisha ujenzi wa maboma hayo ndani ya miezi miwili. Halmashauri itaweka Nguvu kwa kuezeka na kumaliazia ili shule ifunguliwa mwakani mapema.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0