Katika kuyafikia mafanikio mtu anahitaji kufanya maamuzi magumu, lazima yafanyike maamuzi yenye tija na utayari wa akili na mwili ili kuanza jambo (UTHUBUTU).
Salehe Juma Waziri ni kijana aliye THUBUTU katika kilimo cha mbogamboga, alianza na anasonga mbele kuzifikia ndoto zake.
Uthubutu ni kitu mtu ana hitaji ili kufikia ndoto zake
Ama kweli Salehe Juma Waziri ame THUBUTU.
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 4
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Uthubutu wa Salehe Juma katika mradi wa KILIMO CHA MBOGAMBOGA: