المدة الزمنية 2:20

IJUE SABABU YA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII KUTWAA NGAO MAONESHO NACTE

بواسطة Jamiitz Online
75 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/06/05

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akieleza sababu za ushindi wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii na Ufundi kwenye maonesho ya pili ya elimu na mafunzo ya ufundi, yaliyofanyika jijini Dodoma hivi karibuni.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0