المدة الزمنية 10:24

Mbinu za Kujua Aina Yako ya Akili ili Ufaulu Kila Kitu – Aina 10 za Akili

بواسطة Welfare Tanzania
25 852 مشاهدة
0
227
تم نشره في 2020/09/21

🍀#welfaretanzania Je, unajua una akili ngapi? Akili ni uwezo wa mtu kuelewa, kujifunza, kufikiri, kubuni, kupanga au kuiga maarifa na kuyaweka kwenye vitendo. Ndiyo maana unaona mtu huyu yuko vizuri kwenye hesabu, au ala za mziki, au uchoraji au kuelewa mawazo magumu ambayo watu wengine hawaelewei. Aina hizi za akili zinakufanya uweze kujifunza vitu Fulani kwa urahisi sana au usiweze kwa urahisi. Ndio maana unaona darasani kuna watu wanaelewa hesabu haraka na wengine taratibu au wengine wanaelewa lugha na maneno haraka ila wengine ni shida na mzigo kuelewa. Mwanasaikolojia Howard Gardner katika kitabu chake cha Frames of Mind anaeleza aina tisa za akili nazo ndio hizi na jinsi ya kujua uko katika kundi gani. Aina 8 za akili (Howard Gardner Frames of Mind) 00:00 Intro 01:10 1. Logical-mathematical intelligence (NAMBA/HESABU/MANTIKI) 02:06 2. Verbal-linguistic intelligence (LUGHA) 03:00 3. Spatial intelligence (UONI WA 3D) 03:48 4. Musical intelligence (MUZIKI) 04:30 5. Bodily-kinaesthetic intelligence (KUSHIKA/MGUSO) 05:10 6. Interpersonal intelligence (MAHUSIANO NA WENGINE) 06:06 7. Intrapersonal intelligence (MAHUSIANO BINAFSI) 06:48 8. Naturalist intelligence (MAZINGIRA/ASILI) 07:30 9. Creative intelligence (BUNIFU) 08:13 10. Spiritual intelligence (DINI/IMANI) 🍀SUBSCRIBE hapa👉 https://bit.ly/3pbavBj ==================================== ISHI BILA CORONA: /playlist/PLTF6ctj5XL7WuDb0tfYHnI7YCTdFAqqow JINSI YA KUFANYA KAZI KUTOKA NYUMBANI: /playlist/PLTF6ctj5XL7UdMfGsOvTXFC2X05K8X4Bm ==================================== All images and additional video segments contained in this video are used in strict compliance with the appropriate permissions and attributions required from https://www.dreamstime.com and/or https://www.freesound.org in accordance with the YouTube Partner program, Community Guidelines and YouTube Terms of Service. Song: Envici - Backspace (Original Mix) [Twin Pillars Records] Music provided by Twin Pillars Records Video Link: /watch/oqjbrO_X0dfXb Kusoma vyanzo bofya hapa: https://pastebin.com/4NgXi0Tj 👍LIKE hii video bonyeza SUBSCRIBE na bofya alama ya kengele🔔 ili upate videos tunazokuandalia 🍀SUBSCRIBE hapa👉 https://bit.ly/3pbavBj ============================== Asante sana kwa🏆 Sept 2020: SUBSCRIBERS 50 ============================== ❤️Asante kwa kutazama #videozawelfaretanzania stayblessed

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 23