المدة الزمنية 3:7

WAFUNGWA NA MAHABUSU KUPATIWA BIMA YA AFYA

بواسطة CPC TV
164 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/03/15

KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza Meja Jenerali Suleimani Mzee amekutana na kufanya mazungumzo na Dkt. Francis Lutalala, ambaye ni Mratibu wa Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa(CHF) Jijini Dodoma kwa lengo la kuona uwezekano wa kuboresha afya ya Watumishi wa Jeshi hilo pamoja na Wafungwa na Mahabusu waliopo Magerezani.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0