المدة الزمنية 12:42

Lema, Mnyika Waliamsha Tena Dude Bungeni

بواسطة Global TV Online
354 483 مشاهدة
0
1.1 K
تم نشره في 2017/06/29

Jana miswada mitatu inayohusu madini ilisomwa bungeni kwa mara ya kwanza jana. Miswada hiyo iliwasilishwa kwa hati ya dharura kama ambavyo Rais Magufuli aliliomba Bunge lipitie upya sheria na mikataba ya madini. Bunge pia limeongezwa muda hadi July 5. Wakati anapokea ripoti ya pili ya Kamati Maalumu ya Uchumi na Sheria kuhusu Taarifa ya Makinikia, Rais Magufuli aliliomba Bunge kupitia upya sheria na mikataba yote ya madini na gesi ili kuiepusha nchi kuingia katika mikataba mibovu. Baada ya kuwasilishwa kwa miswada hiyo jana, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (Chadema) aliomba mwongozo wa Spika, ambapo aliliomba bunge kuondoa hati ya dharura ya kujadili miswada hiyo. “Muda mfupi uliopita tumekabidhiwa ratiba ya bunge, serikali inaleta miswada mitatu kwa hati ya dharura, mwaka 1997 mikataba ya madini ilipitishwa haraka haraka, mikataba ya ngesi hivyo hivyo, “Kazi ya bunge ni kutunga sheria, sisi ndio wawakilishi wa wananchi, kwa umuhimu wake na maslahi kwa wananchi, sisi wawakilishi tulitakiwa kukutana na wananchi, hivyo ni bora ikasomwa leo kwa mara ya kwanza na hati ya dharura ikaondolewa na kuletwa bunge lijalo. “Kwa maelezo uliyotoa wadau wataitwa kwa short notice wafike Dodoma kujadili, sisi wabunge vile vile, miswada mitatu inaletwa tuichambue. Huu ni mtego kwa kutufanya tushindwe kuishauri serikali kwa kazi yetu ya kibunge”. Alisema Mnyika Baada ya kauli hiyo ya Mnyika aliyoitoa jana Bungeni, leo Zitto Kabwe(Mbunge wa Kigoma-ACT Wazalendo) amepingana na kauli hiyo ambapo amesema Hoja ya hati ya dharura anayoizungumzia Mnyika ni dhaifu kwa sasa. WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/ TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 89
  • @
    @allyrashidi4490منذ 5 سنوات kweli umeongea sanaaaa alafu wao awaja ata aka awo
  • @
    @kenjrnganzi478منذ 7 سنوات Nchi haiwezi piga hatua kwa mwendo huu wa wabunge wa ccm kusema kila kitu ndiooo 7
  • @
    @tedystanley8889منذ 6 سنوات Upinzani ndo kila kitu, Mungu awabariki sana 7
  • @
    @filimondeclassic1889منذ 6 سنوات Wapinzani mko makini mno bila ninyi bunge hakuna 3
  • @
    @allymfangavoo6065منذ 5 سنوات Matatizo yanakuja ayo ni madogo shida zinakuja 2020
  • @
    @betholuoga9381منذ 6 سنوات mnyika upo sawa wapizani wamedai sana mikataba mikubwa hususani ya madini ijadiliwe bungeni.serikali imekuwa ikibaki nayo eti ni confidential.. upuuzi.thank to Magufuli amekuwa msaada kwenye rasilimali za nchi 7
  • @
    @bonabonala7685منذ 6 سنوات Kweli lema upo saws IPO siku kitawaka 2 wanaona wanainchi wajinga wakumbushe yariotokea ivorycoest ya raurent gbabo ccm na mijadara ya sifa2 hayaa 7
  • @
    @loner_wolfمنذ 5 سنوات Hawa njaa TU. Hakuna mkweli. Wasakatonge watupu
  • @
    @bustobull1030منذ 6 سنوات Serikali tawala mambo inayojifanyish siku wananchi tukisimama kitaeleka. 4
  • @
    @djjoopitare2818منذ 6 سنوات Daaaaah najivunia mbunge wangu lemah anaongeaga ukwel mungu amlinde tuu 5
  • @
    @emmanuelmussa8331منذ 6 سنوات Msigwa yeye anacheeka tu lema akiongea 1
  • @
    @agneserasto9806منذ 5 سنوات Wananchi hatuwezi kuwaerewa wapinxani maneno matupu
  • @
    @SamSam-bn8dbمنذ 6 سنوات Tanzania kuendelea kiuchumi sahau coz maelewano hakuna hata kwenye ukwel, Bungeni ndo mlitakiwa kuwa kitu kimoja ili kuifiiisha nchi mahali husika, badala yake ndo haya. 4
  • @
    @phineruge3480منذ 5 سنوات Wapinzani wote mko Strong, Bila Upinzani Bunge halina watu wenye Hoja km wapo ni 20% kwa 100%
  • @
    @itazowanzagi5721منذ 4 سنوات Huyu jamaa waga namkubalisana kwenye siasa duu nahisi ana PHD
  • @
    @user-zl4ch7kz3bقبل 7 أشهر Tangu nianze kuangalia bunge nilikuja gundua wabunge wa chadema ndio wanatutetea ccm ni vilaza hawajui kaz yao
  • @
    @hamadshein935منذ 6 سنوات NAOGOPA KUKOMET HUYO ALOCMA MMECHELEWA. ANAJIJUA ALIFIKAFIKAJE HPO. 2
  • @
    @yairoswai9587منذ 6 سنوات Ninahisi upinzani Tanzania ni kama watu haramu ila laiti Watanzania wangeelea kutafakari faida za upinzani. Wamevumbua uozo kibao kama sio wapinzani Tanzania ingekua wapi leo 5
  • @
    @peninaagustino2549منذ 7 سنوات Upinzani ni wa muhimu sana katika kila eneo maana ni jicho la maendeleo. Ukiuchukia upinzani utakuwa haujui kucheza vita nzuri ya maendeleo. Hata wewe id="hidden5" class="buttons"> binadamu una wapinzani wako ambao wanakusaidia usibweteke, wanapokukosoa unajirekebisha na kusonga mbele. ....وسعت 9
  • @
    @josephnchunga6554منذ 6 سنوات mpuuzi ninyi mlimkimbiza Nairobi mkihofia kuwa hapa inchi watamua ninyi nivigeugeu hamfai kuwa wabunge ,unaomba una bwabwaja mbona huna nidhamu ww. 3
  • @
    @freddokuckelmann8502منذ 6 سنوات Hawa jamaa wala hawapigani bungeni? Bunge ni Uganda bwana, nasubiri ngumi za wanawake wa Uganda tu. Wabunge wetu wana vitambi, ngumi moja analazwa Muhimbili miezi sita. 2
  • @
    @ndikumanakalenzo2440منذ 7 سنوات Ila unalo rais la ajabu Sána, kama kweli Ana nia madhubuti angetoa muda WA kutosha kuanza mapitio ya miswada na sheria zote Za madini, na Hata ile report yake pía ipelekwe bungeni kupitiwa pía bila kujali wabunge ni WA chama gani ....وسعت 4
  • @
    @evansonyango2878منذ 3 سنوات Tanzania si mtupatie huyu mbunge ata kwa mkopo
  • @
    @charlzlyimo1982منذ 7 سنوات wacha waendeelee kutuburuza make watz wengi ni uneducated,ngoja wazungu waendelee kutuibia tu 6
  • @
    @mfaumemohamed8753منذ 6 سنوات Lema boya kweli, kwa maneno yaka inaonyesha kwa wasiojulikana kule kibiti anawajua 5
  • @
    @agneserasto9806منذ 5 سنوات Wabunge wa wpinzani wizi mmehiba simenti mmehiba zahabu
  • @
    @joycemosha1898قبل 6 أشهر JAMHURI YA MUUNGANO AFRICA DUNIANI CCM BILA DEMOCRASSIA HAWAWEZI KUKAA BILA KUWEPO DMC NA HAWATAPATA MIKPO YA KUMLINDA NA KATIBA RAISI KAKIUKA KATIBA NA id="hidden8" class="buttons"> KIAPO WAMEUUWA RAIYA KWENYE KUTUPA KWENYE VIROBA NA MENGI HAO HUKUNA UONGOZI AJIUZULU TU ANATAYARISHIWA YA KUONGEA ....وسعت
  • @
    @favouredfreda283منذ 5 سنوات LEMA ni lazima asikilinzwe kwani inaonekana kunauvivu wa kufikiri madhaifu ya utendaji kazi kuleta mabadiliko ya nchi.
  • @
    @juliasmollel5176منذ 4 سنوات lema umebonga point lakin sasa hao wajinga hawatakuelew
  • @
    @agneserasto9806منذ 5 سنوات Nyie wapinzani ndo mnatakiwa kuhondoka bungeni hibaki ccm mnaka mnararamika mbona amuhondoki maneno tu 1
  • @
    @frabomdemwa8880منذ 5 سنوات Ccm ni dhaifu ndio maana raisi ameanza kampeni kwenye ziara za serikali huku akionekana wazi kuwabagua viongozi walio chaguliwa na wanannchi huku akijinasibu ni raisi wa wote upuuzi mtupu
  • @
    @mariamkalinga2628منذ 6 سنوات smtupati ng'o ccm mbel MBL kwa mbl 4
  • @
    @agneserasto9806منذ 5 سنوات Lema tunakataa ni ujinga mtupu we ni mbunge kazi yako mbaya kaxi ya ubunge himekushinda usiwatiahe siku yako ya kwenda jera himefika 1
  • @
    @abdulkarimjuma6721منذ 4 سنوات Hakika ukisikiliza upinzani huwez kuipenda ccm
  • @
    @Mbugokilondaمنذ 7 سنوات Chama cha upinzani ndo kila kitu bungeni! Wabunge wa chama cha mapinduzi ni mambulula tu, wanafuata upepo kama bendera 15