Yamoto Band Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kwenye Muziki, leo wameachia Track yao mpya inaitwa BASI mapema leo waliitambulisha kwa mara ya kwanza kupitia Clouds FM katika Kipindi cha Leo Tena na waliongozana na Mkurugenzi wa Kituo cha Mkubwa na Wanawe Saidi Fella ambaye alielezea ukimya wa vina hao pamoja na ule uvumi ulikuwa mtaani kuwa yamoto band wamekosa na Fella wengine walisema Aslay ametoka kundi, Msikilize Saidi Fella na Yamoto band.
___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________
Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania.
Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young.
Share, Support, Subscribe!!!
Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ
Youtube: /c/HZBTV
Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo
Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo
Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo
Google Plus: https://plus.google.com/+ harakatizabongo
Website: http://harakatibongo.com/
#Aslay #Mbosso #YamotoBand #Basi