@danieltunu1297منذ 6 سنواتDuuuh bora kufa masikini kuliko kupoteza maisha pasipo matarajio ya mungu 6
@
@saumuhassan6365منذ 6 سنواتSubhannallah, Allah tunusuru na vizazi katika majanga haya ya madawa ya kulevya.
@
@birdofpry3897منذ 6 سنواتInnalillah wainna ilaih rajiuun Allah amrehemu maiti wetu. Pia twamuomba Allah atusamehe makosa yetu. hakuna mkamilifu icpokua Allah pekee
@
@fathiyaalimtumwa6846منذ 6 سنواتMungu aileze pema mwili. Wa marehemu piano jaman walimwengu mwenzangu tuachen. Tamara za kidunia
@
@mzenjitz2242منذ 6 سنواتMwenyezi Mungu tusamehe waja wako na utuepushe na mabalaa yaaRabi!
@
@aishabarie9115منذ 6 سنواتMwenyezi mungu waangamize wale woote wenye kusambaza madawa yakulevya. 6
@
@user-me6gs8gu6dمنذ 6 سنواتYarabbi tunusur mwenyez mung ampunguzie adhab za kabri
@
@mdomani2404منذ 5 سنواتYale yaki na ngwea☹️Daaah siwez aiseee biashara iyo ngoja tu nisugue toilet za waarabu
@
@alisaalis9218منذ 6 سنواتM/Mungu akusamehe dada,Watu wanyongwa China na India lkn bado mnapeleka madawa ya kulevya,Sikio la kufa haliskii dawa 4
@
@ziakaitala2221منذ 6 سنواتUchunguz ufanyike kugundua mtandao mzma ila wote wanaohusika wale mvua ya maisha 2
@
@jennifersirikwa7449منذ 6 سنواتMungu hakupenda anachokifanya na hasira ya Mungu iliwaka juu yake, sababu analeta vitu vya kuangamiza watoto wa wengine yeye aishi kwa starehe na watoto wake kwa fedha haramu. Na Mungu asinyamaze kimya sababu ya. wabinafsi 6
@
@mohdabdi4157منذ 6 سنواتduuu pole sana wafiwa lkn funzo iloo tujifunzeni na iyo ni ajali ya kujitakia
@
@mumybhay4984منذ 5 سنواتTamaa ya maisha itawapeleka pabaya wapenda mafanikio ya haraka ..tamaa mbaya .
@
@njeshkarisnjeri2527منذ 6 سنواتUnapoteza uhai wako bure juu ya pesa cha haram hakiliki na wote wanao sambaza hizo madawa mungu awalani nyote fanaya kazi harari nae mwenyezi mungu atakubariki
@rahmakhassani4148منذ 6 سنواتZa mwizi arobaini saba ikipita subiria arobain yako tujifunze kutafuta katika haki na si katika kharamu 6
@
@elizabethmwandu6937منذ 5 سنواتMmmmmmmhu makubwa yanini kujinunulia kifo mwenyewe? Mmmmhu pesa hizi sijui zitatufikisha wapi hata kama ni utafutaji kwa njia hii tunakufa na tunaziacha hizo pesa.
@
@mwanneamani7307منذ 6 سنواتkaisha kufa bc tena mungu ndio anajuwa hukum yake
@
@basilisamsaka1221منذ 5 سنواتTamaa mbele mauti nyuma ndo haya jamn.
@
@user-qs9rn2je4cمنذ 6 سنواتbora ni fanye kwa waraabu kuliko hiyo mungu ninusuru mm na kizazi changu 7
@
@basilisamsaka1221منذ 5 سنواتNaridhika na ninachopata ila ni cha halali.
@
@ibrahimshaban4126منذ 5 سنواتAmepita wapi na hayo madawa bila kukamatwa au ndio hao watoa rushwa zake zimefika hata kama hakukamatwa bora wafe wao maana tumechoka kupoteza ndugu zetu kwa hayo madawa
@
@kalambolazaro2241منذ 6 سنواتMmmmmmh atakuwa mtu wa kibosho huyu maana watu wa kibosho hamjambo 4
@
@fideliscmwendapole9336منذ 6 سنواتbora kafa tena anafaa kuchomwa moto ilikusudi isibaki kumbu yoyote juu yake bali ibaki stori tu. 4
@
@AliM-di8dzمنذ 6 سنواتTamaa, tamaa ; tamaa mbaya, ona sasa ulipenda uache watotowako ?? Jmn inauma sana mbona kazi zipo nyingi hata kupasua mawe tu ni kazi pia .
@
@ssur5797منذ 6 سنواتHello ajue cha kumjibu Allah mbele ya haki R.I.P 2
@
@aminaally4028منذ 6 سنواتYote kutafuta rizk tu mzigo umepakiwa vibaya huo mbele yake hakuna anae jua kesho 1
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MWILI WAZUIWA HOSPITALI BAADA YA KUGUNDULIKA UNA MADAWA YA KULEVYA YA KUTISHA: