المدة الزمنية 3:38

Rais Magufuli ampigia simu Neema Mwita na kumtumia watu

بواسطة Millard Ayo
291 809 مشاهدة
0
1.2 K
تم نشره في 2017/02/23

Neema Mwita Wambura amepata msaada wa matibabu kutoka kwa Rais Magufuli kutokana na majeraha yanayomtesa baada ya kuunguzwa na moto kwa Makusudi. Mwaka 2015 Neema anadai alimwagiwa maji ya moto na mume wake aitwaye Haruni Juma aliyekasirishwa na kitendo cha Neema kuchuma mahindi mabichi na kuyapika bila kibali cha mumewe.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 352