STEVE NYERERE AMTUKANA MSIGWA - "Ni PANYA Tu, Nagombea UBUNGE Iringa, Ana MADENI Sana"
VITA ya muigizaji Steve Nyerere na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, imeendelea kupamba moto, ambapo Global TV baada ya kufanya mahojiano na Mbunge huyo sasa imemua kumtafuta Steve ili kujua nini hasa kinasababisha waingie katika vita hiyo..
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
(+255676229628)
HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe http://bit.ly/globaltvonline
@justinbenedictor3567منذ 4 سنواتKelele za nini, si ukagombee uone utapata kura ngapi! Mpaka za wasanii wenzio utazikosa. 17
@
@crollinpatrick4964منذ 4 سنواتAlicho kizungumza Mh msigwa bungeni kilikuwa na maana sana kwa taifa ila tatizo ni uelewa, na mtu kama steve si rahisi kuelewa kwa sababu ni mjuaji sana. id="hidden1" class="buttons"> Matokeo yake kila anacho zungumza anakuwa haeleweki na hana cha maana. Lakini hapa tatizo kubwa ni kwa hawa wanao jiita wana habari, baadhi yao hawajui wanacho kifanya. Maswali wanayo uliza hayaeleweki matokea yake wana sababisha mtu anamtukana kiongozi. Mh msigwa ni mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo huwezi kumtukana kiongozi kwa namna unavyotaka labla iwe kichwa hauko salama na hapa ndivyo ilivyo kwa huyu kijana mwenzetu. ....وسعت
@
@bakariilulubala120منذ 4 سنواتwananchi wenzangu,bila kujali uwezo wa Msigwa bungeni mwenye matatizo ni Msigwa.Uwasilishaji alioutumia haukuwa wa kistaarabu ukichunguza kwa ndani ulikuwa id="hidden2" class="buttons"> na roho ya kwanini kwa mtanzania mwenzake.Mtanzania kula matunda ya nchi yake ni vibaya? Inakuwaje utoe kauli ya kumdhalilisha mwenzio? Angeboresha kwa kusema wale wasanii wakubwa wa nje waungane na wasanii wa Tanzania kutangaza utalii wa nchi yetu kuliko kutumia kauli mbovu ya kudhalilisha!Wachungaji ni watu wenye busara sijui hapo mzee huyu aliteleza? Steve anaandamwa bure kwenye comments mwenye matatizo ni huyu mzee alieonyesha roho ya kwanini kwa mtanzania mwenzie! ....وسعت
@
@amaninaupendo.3539منذ 4 سنواتAmen amen. Kila wakati nasema watumishi wa Mungu jiepusheni na malumbano na watu. Ingieni vita nao katika maombi na siyo vinginevyo. Msigwa wewe ni Mchungaji id="hidden3" class="buttons"> vita vya nini na Watu?. Waefeso - 13. Mungu awasaidie. Amen. ....وسعت
@
@georgeigogo9259منذ 4 سنواتStive nyerere ww nibwege tuu. Tenaunaajishusha Sana kwakujidai unajibishana na msigwa 7
@
@devidmwakipunda1697منذ 4 سنواتMtangazaji bwege iyo kazi akufai wachie shirawadu 3
@
@ngometvarusha4030منذ 4 سنواتMnapenda sana umbea sintofahamu ipi kwa mfano msigwa kaongea bungeni ,mnampa kichwa nyerenyere nakuharibu jina la mwalimu. 1
@
@suhadsalim5528منذ 4 سنواتHuyo Hana mpango wowote Sanaa imemshinda
@
@mwajejasson6995منذ 4 سنواتWewe muandishi msigwa uwezi kumfanisha na huyo jamaa mm simuelewi hata kidogo 12
@
@benjaminlijongwa3715منذ 4 سنواتWachungaji huwa tunapewa exemption (msamaha wa kodi) 3
@
@stanslausmteme8455منذ 4 سنواتWe anakujua Nani!? Eti kuigiza sauti IV ckuhizi anasikiliza Nani? We nawe msanii! 5
@richardnganya2311منذ 4 سنواتSteve 'Nyererre' jaribu kusoma nyakati !! Uelewa wako bado sana ukilinganishwa na Mch. Msigwa !! Kazi mbadala ya usanii sio changudoa wala ujambazi !! Steve bado sana !!
@
@danielmaeda5074منذ 4 سنواتUnachekesha watu ww hivi unaweza kujilinganisha na Msigwa.
@
@stanslausmteme8455منذ 4 سنواتHuna akili!!! kwani mbunge ndo anajenga shule ? Sasa we utajenga hela unazo?! 5
@rahelgika3870منذ 4 سنواتHivi huyu Steve anajielewa kweli!! Eti msigwa hajulikani. 2
@
@Rashidmhedheryمنذ 4 سنواتHii channel ya ovyo sana, kama hamna cha kutuletea bora muache, hiki ki karagosi mnakitakia nini? Hakina sifa yeyote, kina kera tu!!!!!! 6
@
@donaldthomas8939منذ 4 سنواتStive kumbe hajitambui, anataka mbunge ajenge nini na hela apate wapi, anazeeka hovyo 1
@
@lyimoshopingbag5374منذ 4 سنواتWee mshamba kweli asie daiwa nani! fala kweli ndio mana ukaumbwa mfupi 1
@
@elishamwaya4074منذ 4 سنواتDuh watu wa iringa mukimchagua huyu mutakuwa mabwege hana point hata moja
@
@stevenmsaaada.msaada.389منذ 4 سنواتHao viongoz wanaomtumia steve nyerere ndio waliomtuma akamkosoe waziri kuwatumia akina steve nyerere?
@
@kanyikamasika2354منذ 4 سنواتKumbe stive ni segito kweli huyu ni kichaa
@
@nicolausmavoa7909منذ 4 سنواتEgizamshen sio gari ya wizi bali ni gari ilioingizwa nchini kwa msamaha wa kodi 2
@
@simonzakaria4770منذ 4 سنواتHivi hii TV imekosa kabisa mada zenye Tija kwa wa t z
@
@davidnicholaus5304منذ 4 سنواتDunia imemjua .kwako dunia ni nini?Mouth mmmmmm 2
@
@savimbimapesa3301منذ 4 سنواتUkabila huo et wahehe unataka kupotosha watu
@
@gastordominic410منذ 4 سنواتAsa na ww mtu.mtu unakula rambirambi 1
@
@mohamedharoub3505منذ 4 سنواتSteeve wew mpumbavu sanaa.shida yako kiki.wewe big name sababu ni Tapeli wa kula michango ya misiba.usanii umekushindaa
@
@andrew.gadimrinji1713منذ 4 سنواتInaonyesha hauna ufahamu wowote..ni pure msanii kwa maana mbabaishaji.
@
@majaliwamsigwa3974منذ 4 سنواتKweli we ni katuni,kapande miti Mufindi
@
@allanbhujo8736منذ 4 سنواتComment zote zimetoa jibu nani ninani kwa ufupi Steve ni wasaa wako kujitafakari unaweza kupoteza marafiki wako kwenye taaluma yako ya usanii kisa kukosa id="hidden5" class="buttons"> BUSARA,HEKIMA, NA KUSOMA NYAKATI Kukaa kimya nako ni AKILI KUBWA maana domo daima huinua na kuangamiza naona mdomo wako unakufaa kwenye sanaa si malumbano OMBA RADHI USAMEHEWE ....وسعت4
@
@lucascornery9320منذ 4 سنواتNyrere stevn ww mjinga kbsa kumtukana mtu mkubwa kama huyo
@
@loner_wolfمنذ 4 سنواتSteve unaongea kwa sauti kubwa Sana , Yule jamaa alikukosea sana kiukweli ni hajafikiria alichokisema but alikuwa na point nzuri tu , sasa sijui mnapiga id="hidden6" class="buttons"> kelele za nini , nafikir mnagombea demu kweli maana stori yenu inanishangaxa sana ....وسعت1
@
@fundimchizi5225منذ 4 سنواتSasa msigwa asiongeee chochote haka kajamaa kanaitumia hii nafasi hakakuwa kana sikika,sasa kameona ni nafasi kumbe kanazidi kujiaribia
@
@deobenedictakyoo3140منذ 4 سنواتHakuna adabu kwnza kwnn kanatumia jina la Baba wa taifa vbaya? 9
@
@fadhili2293منذ 4 سنواتSteve ni ugoro tu. Big name wapi au dunia ya wapi hiyo.
@
@justinekashiriririka8690منذ 4 سنواتMwandishi unakosea sana huwezi ukamfananisha mbwa huyo na msigwa jaman.
@
@mwanzashinyanga8060منذ 4 سنواتhuna lolote wewe ni choko tu msigwa humuwezi kivyovyote 8
@
@masanjaelias5829منذ 4 سنواتkuwadi wa madem sijui unapowakuwaidia wanaume wenzio wew unakua upande gan
@
@usajiliusajili6511منذ 4 سنواتSteve unazidi kujizika mwenyewe yaani kichwa chako umetoa ubongo na kujaza matope 1
@
@barakamfugale1049منذ 4 سنواتNywele kipipipili jinga kuropoka usenge Bongo movie zimekushinda tako ww
@
@hamudseifمنذ 4 سنواتDah steve unaongea pumbaaaaa, sema fresh
Kumbe jamaa maiti 1
z
Kukaa kimya nako ni AKILI KUBWA maana domo daima huinua na kuangamiza naona mdomo wako unakufaa kwenye sanaa si malumbano
OMBA RADHI USAMEHEWE ....وسعت 4