المدة الزمنية 3:56

JPM - Eti MO DEWJI Alikutwa Gymkhana Alifikaje Watanzania Sio Wajinga

بواسطة Global TV Online
138 851 مشاهدة
0
612
تم نشره في 2019/03/04

JPM - "Eti MO DEWJI Alikutwa Gymkhana Alifikaje? Watanzania Sio Wajinga" RAIS wa Dk John Pombe Magufuli ameonyesha kuoridhishwa na namna ambavyo suala la upelelezi wa tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ linavyofanya na Jeshi la Polisi nchini huku akidai sakata hilo linaacha maswali yasiyojibika kwa wananchi. Magufuli amesema hayo leo Jumatatu, Machi 4, 2019 wakati akihutubia mara baada ya kumaliza kuwaapisha Balozi Dk. Augustine Phillip Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na Prof. Palamagamba John Mwaluko Aidan Kabudi kuwa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 96
  • @
    @frankmwampamba1665 years ago Anae amin kuwa mo hakutekwa ila ni mpango tu like hapa 29
  • @
    @n_onlinetv913 years ago R.I.P boss wangu wa muda wotee linikua nakukubali sana mshua💔 Rais wangu wa muda wote😭 19
  • @
    @morombotv3 years ago Nakupenda sana mzee mungu akupumzishe kwa aman 6
  • @
    @chazzkessy23715 years ago Daah yani hapo mkuu Leo umenifurahisha Sana 7
  • @
    @neemajulius12563 years ago Kwenye uongozi wako anko Magufurj ulizingirwa na maadui wengi kuchagua uongozi wako pumzika kwa amani 11
  • @
    @yahyamajidyahyahilalal-har87623 years ago Baba Magufuli uliongea ukweli mtupu Pumzika kwa Amani Watanzania tunaumia Sana 15
  • @
    @ahmedshariff80645 years ago The best speech ever and it shows how Mr President care for his country 16
  • @
    @willywaire503 years ago Baba yetu Magufuli ulisema IPO sikututakukumbuka na kweli tunakukumbuka kwa mema uliotenda Mungu aiweke roho Yako mahali pema peponi.. 13
  • @
    @luganokitwika73593 years ago Mungu akupumzishe kwa amani baba yangu 1
  • @
    @mohamedkasimu36525 years ago Nashukuru Mheshimiwa kwa kuligundua hilo
  • @
    @emarrgeorge85363 years ago R. I .p.Babaetu Kiukwel Tunapita Mibani bila Hata Malapa... 2
  • @
    @philbertmwanakusya80505 years ago nchi yetu ngumu sana kuielewa lakini Mweshimiwa Rais kaongea kweli zaidi tuiombee nchi yetu na kuilinda wenyewe tusisubiri mpaka police tutakuja kupata matatizo big up Rais wetu 12
  • @
    @hamisichuma32705 years ago kazi mzuli ufanya m2 mwenye ueledi wahali ya juu saruti kwako mkubwa wa mchi 5
  • @
    @humphreybilly32583 years ago Aise ulisema ukweli.
    Mungu watu Sasa hivi tunafanana baada ya kifo chako,
    1
  • @
    @wixtomixeverythingeverythi77653 years ago Hatakama wakinyamaza miyoyoyao haitakuwa clear 1
  • @
    @ramadhanmgaya17753 years ago Watanzania pia mpaka sasa hatujui Magufuli alikufa kawaida au ..alishughulikiwa. 2
  • @
    @hapakazitu73645 years ago yaani mambo ya ukweli tupu unaongea maana hayamatukio yanaharibu taswira ya utawala huu ulio mzuri 3
  • @
    @fulgencemark76403 years ago Mkuu wa nchi akizungumza ukweli namna hii tutasalimika.Wakati ws uongozi wake ndio wakati mchongo wa kumkamata Mbowe kama gaidi ulichongwa na aliyafahamu yote hayo lakini kwa akili xake xa kawaida tu hakumkamata na kumwadihibu kama ilivyo sasa.Kama kweli Mbowe anao uwezo wa kutenda ugaidi kwa kutumia vijana watatu tu si atakhuwa hatari kuliko Osama bi Laden aliyekuwa na vikosi vingi?! ... 9
  • @
    @amanafi12883 years ago Nenda salama Baba... Umetuachia Jeshi la Police bado limeozaaa... Dilii linalopigwaa Vijijinii kabisa huko mzigo (mpunga) unaopatikana unamfikia Inspector General siku hiyo hiyoo bilaa aibuu.. 4
  • @
    @jamesjahasa33485 years ago Kwakweli tunanyamaza mkuu mengi yapo unaongelea huyo dewji alirudi wapowengi ambao hawarudi tunaambiwa walikua majambazi kwakwehili jeshi la lapolisi halipo sawa 3
  • @
    @egattamkaima6765 years ago Hahahahahahah maisha yanaenda mbio muda hautoshi 1
  • @
    @abdulrahmanally14123 years ago In "pragmatism" theory "what you utter is not what you mean" 5
  • @
    @jmondmsafi55583 years ago INGEKUWA DUNIAN TUKIOMBA UNARUDI TANZANIA INGEOMBA URUDI R.I.P JEMBE 1
  • @
    @titokeneth391last year Ali jaribu kujizima data
    Lakini MUNGU wetu ni mwema
    1
  • @
    @jessicarasigu22203 years ago R.I.P. Raisi wetu kipenzi cha Watanzania 1
  • @
    @renatusrevocatus38953 years ago Kwahiyo alijiteka? Mbona hamkumpeleka Sasa wakati ninyi niserikali? 2
  • @
    @saramichael16322 years ago Namuombea Mwanangu Joseph aje kuwa Kiongozi mzuri kama wewe baba, ulikuwani ni mtu Imara Sana!!
    Tutakukumbuka daima
  • @
    @ibrahimomari24582 months ago Ben saanane nae...kazee kalikuwa kanafiki haka...
  • @
    @morandraymond86023 years ago Huu mpango wa aduwi zako ambao wanataka kukuchafua inakuwa makamba kupata.tarifa mapema ya kupigiwa simu wakati mo hakuwa na simu uchunguzi ungeanzia apo 1
  • @
    @kalumbugideon41592 years ago Magufuli aliipenda nchi yetu ya Tanzania
  • @
    @loner_wolf2 years ago Wengi waliomchukia huyu mwamba ni wale wenye akili fuata upepo , bila kumsikiliza kwa makini huwez kumuelewa mtu mwenye maadau wengi, ni mpaka umfuatilie kuanzia neno la kwanza na pumzi zake ..... Sioni hatia kwa mtu huyu
  • @
    @frankjohn8706last month Yani niwajinga watz lkn sio wajinga sana
  • @
    @jenyyusuph49733 years ago Daima daddy u mtima wa moyo wangu hata nikiwa mzee kikongwe you are the only one the best of me
  • @
    @edigajoh56693 years ago Mzee ni mapolice wako haohao wanatufanyia hivyo vitu.
  • @
    @ambokileasheengai11403 years ago MCHONGO WA MAMBOSASA NA MAKONDA,,,DHAMBI ZAO ZITAWAUA SHEZY
  • @
    @mbwanarajab47563 years ago Siasa ni ujanja tu , aape kama hawajui watekaji..
    Mzee acha kucheza na akili za watu
    2
  • @
    @harounhilal13943 years ago Huyu jamaa alikuwa mzugaji sana ni mtu mbaya sana yani alikuwa anatufanya kama vile rumekufa akili zetu
  • @
    @rahjah58825 years ago Afadhali kiongozi umesema wewe maana hii picha hata stealing hatumjui 1
  • @
    @a2comedy363 years ago Nitakumis daima hata kama haupo kuna watu watafanya kazi kwa miongozo yako 1