المدة الزمنية 2:46

Magoli | KMC 1-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League

بواسطة Azam TV
23 869 مشاهدة
0
68
تم نشره في 2021/12/28

Goli la dakika ya mwisho kutoka kwa Carles Ilanfya limeiokoa KMC kutoka mikononi mwa Ruvu Shooting kwa kufanya mechi imalizike kwa sare ya bao 1-1 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huo wa #NBCPremierLeague , Ruvu walitangulia kwa goli la Ally Kombo dakika ya 23.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8