المدة الزمنية 18:58

PATANISHO : MKE WANGU ALINIACHIA MTOTO MOJA AKAENDA NA MTOTO MOJA

بواسطة Radio Jambo KENYA
21 694 مشاهدة
0
246
تم نشره في 2021/06/15

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika #RadioJamboKenya Subscribe to RadioJambo Youtube - https://bit.ly/39wwc6u Mitandao ya Kijamii Instagram - https://rb.gy/e154d1 Facebook - https://rb.gy/09d1b9 Twitter - https://rb.gy/e23220

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 68
  • @
    @noelnekesa8592منذ 3 سنوات Ndoa Ina changamoto mob sana na inabidi ukiingia kwa ndoa uwe tayari,, uwe wa kusamehe na wakauomba msamaha na kuelewana km Kuna mpenzio anaenda njia mbaya id="hidden1" class="buttons"> unamketisha mnaongea,,, najua Kuna vitu ambavyo mpenzio atakufanyia umsamehe na uvumilie ila kuhanya nayo Kuna wakati mtu unachoka kuvumilia watu ni waaminiane wapendena na kuheshimiana iwe kwa ndoa Wala mahusiano na mungu atawapa maisha marefu na baraka zake,,, ....وسعت
  • @
    @joycendichu3443منذ 3 سنوات When a woman decide to revenge even the devil sits down and watch 23
  • @
    @hellenarunga4931منذ 3 سنوات Wololo,,,aki leo npewe likes,,,top ten 10
  • @
    @lorraineatieno6544منذ 3 سنوات Men cant tell the trauma women go thru wen they r pregnant..labour pains and finally raising the kids and the family as a whl. Then mtu anaanza kukuonyesha kuwa kuchepuka nje ya ndoa ndio tamu..ndio hayo 5
  • @
    @cleophasayiro10منذ 3 سنوات Hiyo kesi ni kama ya kwangu,mwanaume asonge mbele na maisha yake,uyo mwanamke ashaolewa already. 4
  • @
    @AsSa-hn9nfمنذ 3 سنوات Lineth
    Wonderful! BT I can not judge
    2
  • @
    @janetoroko9271منذ 3 سنوات Men bear in mind we're the one who met devil first in eden msisahau chungeni sana 3
  • @
    @faithmakori8850منذ 3 سنوات Huyo mwanaume aendelee na mpango wa kando wake 3
  • @
    @annaauyo1958منذ 3 سنوات Ati sweet heart. mummy jipange.acha naye aendelee na mipango yake ya kando 1
  • @
    @Princess-eq5eiمنذ 3 سنوات Nauliza hivi kwani siku hizi hawaweki patanisho hapa YouTube ama Mimi ndio sifikiwi two weeks now 6
  • @
    @godsfavour5665منذ 3 سنوات Time yenye bibi alikuwanga hakuwa anaona umuhimu wake sasa akisha enda ndio anatambua alikuwanga mtu wa bidii.sasa si aoe huyo mpango wa kando 7
  • @
    @paulinekamau7618منذ 3 سنوات Huyo jamaa asonge na aendee na maisha yake!!! Watarudiana waanze kesi wauane!!!!!!!unataka arudi aleee watoto coz kazi ni mingi.wewe jipange mwanaume!!!.Eti sweetheart
  • @
    @irinetongoi5217منذ 3 سنوات Mkalee akikataa amekataa.Chelaa amejam 1
  • @
    @nkathalisa7271منذ 3 سنوات Revenge is sweet but haiponyi vidonda vya moyo. 2
  • @
    @stargal906منذ 3 سنوات Thanks so much ghosti kwa kichekoeti simu inaingia vizuri kama farasi wa wapi? Halafu hili limsichana liko na madharau mbona hashiki simu. 1
  • @
    @prettyaysha7892منذ 3 سنوات Mm nilibaki na tuboys twangu2 siwapeani hata kwa madawa, mwanamume anaezazalisha tena mm hata sijui kama naezapata tena mtt so niwapeane nibaki zero nooop 9
  • @
    @zarabati1750منذ 3 سنوات Lakini ghost hahahahahaha unacheka huku unasulushia 2
  • @
    @hannahwanja5309منذ 3 سنوات Songa ukisonganga wewe saa hii ndio waona uzuri wake 2
  • @
    @hellenmudanya9207منذ 3 سنوات Kwa nini hamulipishi watuwalina mpango wa kando 1
  • @
    @badifamwenyewe8301منذ 3 سنوات Kwani waluhya tuliajia wakale fituko musiniulize mbona si nimesikia
  • @
    @prettyaysha7892منذ 3 سنوات Patanisho ya Ghost iko slowly lakini unapata kastory but Gidi nae hukua mharsh 4
  • @
    @beatriceatieno432منذ 3 سنوات Gidi anaharakisa watu sana ghost ako chonjo
  • @
    @loiceomwola7451منذ 3 سنوات Ghost;Hujambo? Yea Ghost hii case niko nao sasa hivi. ata mimi nataka patanisho ..kukaa mbali na mtoto wako n ngumu sana..Mme wangu alibaki na first id="hidden5" class="buttons"> born n Mimi 2nd born ..so; hii n stress tupu 'coz uwezi hata kwendelea n life poa sababu ya hawa watoto.. ukiona mtoto unakumbuka baba ya mtoto. ....وسعت
  • @
    @godsfavour5665منذ 3 سنوات Hayo ndio masaibu ya kuhanya n uko na wife.. 4
  • @
    @jdjdjdjjdjdj180منذ 3 سنوات This grammar nah waaauuu oohidiot. Ww kula umalaya wako nkt 2
  • @
    @noelnekesa8592منذ 3 سنوات Ndoa Ina changamoto mob sana na inabidi ukiingia kwa ndoa uwe tayari,, uwe wa kusamehe na wakauomba msamaha na kuelewana km Kuna mpenzio anaenda njia mbaya id="hidden6" class="buttons"> unamketisha mnaongea,,, najua Kuna vitu ambavyo mpenzio atakufanyia umsamehe na uvumilie ila kuhanya nayo Kuna wakati mtu unachoka kuvumilia watu ni waaminiane wapendena na kuheshimiana iwe kwa ndoa Wala mahusiano na mungu atawapa maisha marefu na baraka zake,,, ....وسعت
  • @
    @loiceomwola7451منذ 3 سنوات Ghost;Hujambo? Yea Ghost hii case niko nao sasa hivi. ata mimi nataka patanisho ..kukaa mbali na mtoto wako n ngumu sana..Mme wangu alibaki na first id="hidden10" class="buttons"> born n Mimi 2nd born ..so; hii n stress tupu 'coz uwezi hata kwendelea n life poa sababu ya hawa watoto.. ukiona mtoto unakumbuka baba ya mtoto. ....وسعت