@laiyahassan769منذ 4 سنواتA victory speech.that is A president.god bless this Man.leave long JPM.
@
@shaddybmc8342منذ 4 سنواتTunaompenda Mheshimiwa Rais wetu mzuri sana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Dr. John p Magufuli Gonga LIKE hapa Chini. 147
@
@saidmarley4049منذ 4 سنواتTHAT THE POINT MR.PRESIDENT!!!! ALWAYS TRUST IN GOD NO MATTER WHAT!!!!IF WE FORGOT GOD AND FEAR CORONA HOW WILL GOD HELP US AGAINST THIS VIRUS!!! MR.PRESIDENT id="hidden1" class="buttons"> YOU ARE THE REAL LION OF AFRICA BECAUSE YOU STAND WITH THE FACTS AND TRUTH WITHOUT FEAR!!! GOD BLESS YOU!!!! ....وسعت
@
@rashidmlunga6145منذ 4 سنواتMm nilipenda hiyo statement yako My Rais kumuomba Mungu ni jambo jema sana upo vzr Mungu akulinde 8
@
@sethmbeke9728منذ 4 سنواتNawaombeni wafrika tusiamini DAWA kutoka Madagascar, WHO wanafahamu jinsi gani wafrika hawapotayari kupokea chanjo kutoka kwao japokuwa mpango wakuwaangamiza id="hidden2" class="buttons"> wafrika nakuwa na Africa bila wafrika ni dhamira yao ambayo hawalali bila kufikiria kila namna yakuitekeleza, koo WHO bado inaweza kushushia mzigo wake wa sumu Madagascar ili ikasambazwe Africa nzima wakiamini tiba ikipatikana ndani ya Africa wafrika wataipokea. Ndugu zangu sio ujinga tukiweka mashaka yetu juu ya DAWA hiyo ya Covid Organic. Ningependekeza kwa kipindi hiki tusiamini misaada yoyote kutoka nje kwani hatutotambuwa upi msaada bora!! machine, barakoa, nk. Kwa kipindi hiki ni bora kila nchi ingejitahidi kupambana kujitegemea kiuchumi, kutegemea Mwenyezi Mungu na ma daktari wa ndani kupata DAWA(tiba), kubuni vipimo(machine) nk. Tuendelee kufwatilia mashauri ya wataalam wa afya, na taarifa za wizara ya afya ....وسعت3
@
@MachembaMediaمنذ 4 سنواتMzee kikohozi vipi, au vumbi la chato hilo, Nice speech kwa kweli. Ndio maana watanzania wakakuchagua uwaongoze. Huwa huyumbagi kwa mambo ya mpito, id="hidden3" class="buttons"> nimependa kuhusu lock down tena ungekuwa vyema kama ungewataja tu. Uganda: lock down wananchi wanakufa kwa njaa, wengine wanafia kwenye mavarangati ya kugombania chakula. Ubakaji kwa mabinti na unyanyasaji wa kingono kufuatia baa la njaa. Ongezeko la wauzaji miili, hasa maeneo ya mipakani na vituo vya magari makubwa ya mizigo(sababu njia za utafutaji zimefungwa) Kenya: njaa kwa raia, vurugu na uvunjifu wa amani, matukio ya wizi pamoja na walipa kodi kupigwa na askari. Vifo visivyotegemeka n.k ....وسعت
@
@clemencechambua8028منذ 4 سنواتSpeech nzuri sana , ina point zinazotupa imani kwamba kweli wewe ni Raisi wa nchi yetu 8
@
@nasraabdallah850منذ 4 سنواتnipo nasoma comment nenu tu hapa♂️⚖️ na kureplies km nawe msoma comment like hapa..tunaamini kwauwezo wa Allah nahili litapita usivunjike moyo rais wetu maguful wew ni jasir 35
@
@neemahamisi4302منذ 4 سنواتEe Mungu umetupa Raisi kama Nabii Tanzania msaidie mpe afya na maarifa zaidi sisi tutamuombea Ee Mungu msaidie Mlinde na Maadui hasa Wale wa karibu yake amen 3
@
@oswiitvonline6514منذ 4 سنواتNapenda Sana msimamo wako Mh. Rais wetu you're my ever role model. Sisi tupo pamoja na wew mheshimiwa na tunakupenda. 3
@
@mawananasoro4405منذ 4 سنواتAsante mungu umetupa Rais mwenye ufahamu mkubwa mungu akuzidishie baba 9
@
@angukuam3098منذ 4 سنواتTanzania siham kwa kwel. my president big up 6
@
@johnmwambungu7434منذ 4 سنواتBig up Mh Rais speech yako ni strong and fascinating na watanzania tupo nyuma yako na tunaamini katika hili tutashinda.
@
@alqaasim_a_tz2412منذ 4 سنواتKUMBE Mheshimiwa amejificha mpaka kwenye Magroup yetu , Dah kweli huyu ni jembe na ninamkubali kwa Mikono miwili usikute kwenye Magroup anachangia kama id="hidden6" class="buttons"> msela wa kariakoo kumbe ANATAFTA Kujua matatizo ya Raia wake , Hongera Mheshimiwa umebakisha Jambo moja tu maana hapa Umeshaa funika , ila soma na Huyo Daniel sio Daniel ni Yona au Yunusu sawa mzee ? Uko vizuri Sana ....وسعت8
@
@ferouzmasoud4741منذ 4 سنواتAsante BABA magu,,,,Mw/Mungu tunaomba utuepushie na janga hili katka NCHI yetu na Dunian kote 3
@
@omanoman728منذ 4 سنواتmung akupe maish malefu rais wetu endelea kudum katik kz yk mzee bab ❤❤ 19
@
@joycebetuely6217منذ 4 سنواتMungu akujalie maisha marefu RAIS WETU.Tunakuombea uishi miaka mingi kwakweli ..MUNGU IBARIKI TANZANIA ,MUNGU MBARIKI RAIS WETU 1
@
@c.bproduction2576منذ 4 سنواتGOOD. .KANISA LA SINAI MISSIONS INTERNATIONAL TAWI LA TEMBONI SINAI PENTECOSTAL CENTRE TUNAZIDI KUMLILIA MUNGU KATIKA JINA LA YESU ILI AKULINDE SANA RAIS WETU KIPENZI AMEN 4
@
@ashazaharan1750منذ 4 سنواتAlhamdulillah Allah akumpe umri mrefu rais wetu 2
@
@husnahassan6289منذ 4 سنواتWw ni zaidi ya rais baba nakuombe Mungu akuongoze zaidi na zaidi Ameen 13
@
@husseinalawi8045منذ 4 سنواتMungu atajalia itatusaidia iyo dawa inshallah 18
@
@piensianamalindi99منذ 4 سنواتKura yangu mwaka huu lazima upate.huteteleshwi na vimanenomaneno always you be strong.I love you forever 2
@
@eischerschwederm7876منذ 4 سنواتMbowe zitto sio viongozi big up Mbatia the true Opposition..mimi nitakupa kura Mbatia nampenda Maguli na Mbatia as oppotion leader with Morals and understanding..true leader. 5
@
@margarethsolomon9823منذ 4 سنواتPoints. I appreciate it. Big up my President Tingatinga, Burudoza Hapa kazi tu. Love you.
@
@jacksonsindoma9117منذ 4 سنواتHata mazishi ya usiku ni kutia watu presha tu.Maiti za wapendwa wetu yaweza kuhifadhiwa vizuri na kusafirishwa hata na gali 1 maalum zikazikwa kule familia ilipochagua. 26
@
@leahrichard6355منذ 4 سنواتAsante sana Rais wetu kwa hotuba nzuri,Mungu mjalie rais wetu maisha marefu .
@
@temkezatv4381منذ 4 سنوات"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza id="hidden10" class="buttons"> Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI ....وسعت18
@
@starridge3615منذ 4 سنواتYona na samaki Daniel na simba Meshach kina Abednego na moto Nipeni like 22
@
@ellysilwani9287منذ 4 سنواتWaafrika tupende vya kwetu, sio kilakitu kitokacho ulaya ndo kipo sahihi,najua wasomi wanasayansi hapa Tanzania na Afrika nzima mko vizuri,uzalendo kwanza id="hidden11" class="buttons"> tafuteni dawa(tiba) ya hili janga,tafuteni chanjo pia Nina imani mnaweza wataalam wetu.Mungu ibariki Tanzania,Mungu bariki wataalam wetu . ....وسعت7
@
@ibrahimadam870منذ 4 سنواتAsante rais tuombe mungu iyo dawa itusaidie 1
@
@mr.josephnyandamasanja6072منذ 4 سنواتMungu ibariki Tanzania. Mungu wabariki viongozi wote Mbariki raisi wetu 1
@
@farijalambaga9600منذ 4 سنواتMzee pole na majukumu baba,niseme tu changamoto unazokutana nazo Huwa Mungu hufanya jambo kwa maksudi,huwenda alikufanya wakati wako wa kuwa rais iwe ni id="hidden12" class="buttons"> kipindi hiki kikugu kwa makusudi.alijua kuna gonjwa litazuka, na hii nchi inahitaji kupata kiongozi MWAMBA katika hiko kipindi cha hilo janga.ivyo mzee piga kazi.haupo kwa bahati mbaya,Upo kwa makusudi ya Mungu,Mungu akutangulie nakuendelea kukupa maarifa yakukabiliana na mitihan anayokuletea,sina nyongeza ni hayo tu Jemedari. ....وسعت
@
@jacoboester4536منذ 4 سنواتDah Mungu akupe nguvu, afya na miaka mingi we ni zawadi Mungu alie tupa 20
@
@janethkasanga1058منذ 4 سنواتEeeh MUNGU mjalie maisha malefu raisi wetu 33
@
@dicksonboniphace1113منذ 4 سنواتkutokana na hili sasa Taifa liinuke na nguvu mpya Asante mheshimiwa Rais 22
@
@jacobemmanuel8375منذ 4 سنواتKweli mheshimiwa, Ayo Tv Bigup sanaaaa 1
@
@farhiyaareef9518منذ 4 سنواتMungu ampe nguvu huyu baba, yaan nikiskiaga hotuba zake huwa nafarijia mno, mungu atusaidie tupite hili janga, na ampe ujasiri wa kufanya maamuzi sahihi muda woote, mungu ibariki Tanzania na africa kwa ujumla.
@
@senipetrotv6127منذ 4 سنوات"Mambo ya kucopy na kupest hatuwezi kuyakubali nchi kwetu" 12
@
@furahafedrick8501منذ 4 سنواتNakupenda sn raisi wetu mungu akuzidishie miaka mingi sn tn sn 1
@teddymwageni1763منذ 4 سنواتMungu akulinde rais wetu wewe u mwema kwetu
@
@saighilunyangusi4986منذ 4 سنواتMwenyezi Mungu mkuu tunakushukuru kwa kila Jambo, mlinde rais wetu uliyetupatia sawa na mapenzi Mungu! 8
@
@deekiwangofire1927منذ 4 سنواتMungu ilinde Tanzania daima rapper from mwanza dee kiwango 11
@
@fanueledmund6408منذ 4 سنواتMungu akubariki sana na mh mazishi ya usiku yanawashtua watu wengi nakuunga mkono sana pia. Pia nakuomba mh rais jaribu kuwafuatilia viongozi wako kwa id="hidden14" class="buttons"> undani zaidi wamikoa mfano jana tar 3/05/2020 kumetokea ajali maeneo ya hale Tanga muda saakumi mchana gari ikaziba njia lakini magari hayo yamekaa barabarani mpaka saatatu na nusu usiku hakuna gari inayopita kwakua njia imefungwa . Mungu akubariki sana. ....وسعت
@
@nkelamei2870منذ 4 سنواتWewe ni raisi wadunia siyo Tanzania tu 12
@
@zenaycechanzinho6702منذ 4 سنواتKiukwel this time U dd it..Mr President..well done salute..honestly mm cjawah kuona Rais ambae ni mgumu na mtenda kaz sawasawa kma ww yaan una maamuz magumu id="hidden15" class="buttons"> na yenye hekma ..unaipend nch yako/yetu na unatupenda wananch wako.mm next election nakupa kura yang. Insha Allah ....وسعت
@
@eischerschwederm7876منذ 4 سنواتDini Biashara tu mbona, yaani Mungu atatuchoma siku ya mwisho,.. love you JPM 1
@
@issakabelege4800منذ 4 سنواتMUNGU ibariki tanzanzania mungu tubaliki wana inchi natuepushe NA korona inshallah
@
@jamesngolly2278منذ 4 سنواتMungu akupe maisha marefu sana mheshimiwa rais
@
@jestinakanji8168منذ 4 سنواتMh.hizo dawa nazo zipimwe kabla hazijatumika.itapendeza au wenzangu munasemaje 38
@
@swaumuselemani8243منذ 4 سنواتMungu akupe maisha marefu raisi wetu.Unatujali sana watu wako hususani sisi watu wachini barikiwa sana
@
@shirukhanshirukhan4564منذ 4 سنواتAsante kwer kabisa iman zaviongoz wetu ziko chini nyumba zaibad wanazifung nakeleka sana yeye ndo wakumuwomba leo tuna funga nyumba zake zaibada iman ila ipo sk mtajua umuhim wa nyumba zaibad
@
@eaglecrown2479منذ 4 سنواتDadeki huyo ndio mwanaume kuliko mwanaume unakaa kulilia kufungiwa ndani kazi kulambalamba miguu ya watu weupe Kila kitu ulaya upuuzi tu acheni kupenda id="hidden17" class="buttons"> seleleko jamani wanaume Kama madada jamani kwani Africa bila wazungu haikaliki kwani??? ....وسعت8
@
@kinghagai6393منذ 4 سنواتMagufuli unajua sana Kwaajili ya wajingajinga tuu wanaopandikiza maneno machafu kwa watu wako ndio sababu yanakuwa hivo Barikiwa sana RAISI MTEULE 1
@
@arlonmasanja7797منذ 4 سنوات"Utalipwa na Mabeberu hao wanaokutumia".bora Umemchana live aiseee 2
@
@wakubwatu1535منذ 4 سنواتMh. Rais hongera kwa hili niko nawe kabisa namuasa mh. Mbowe aache kuivuruga chadema kama kachoka atupishe sisi tunaweka mbele uzarendo mbele wala si siasa id="hidden19" class="buttons"> hivo kupongezwa kwa mbatia ni hali yake ameonyesha uzarendo kwanza hongera sana mbowe jitasimini kama unatosha kuongoza chadema tumegundua wewe ndo tatizo acha ubabe unawapa usumbufu wabunge wa chadema unaua chama ....وسعت1
@
@kessylizzy7439منذ 4 سنواتmungu tusaidie ubarikiwe sana mzee magumungu ibariki Tanzania 12
@
@channel10magicfm26منذ 4 سنواتMpeni Baba Maji amepaliwa. Hongera Mheshimiwa Rais Magufuli. 1
@
@christinenelima2641منذ 4 سنواتNaomba mungu atupe rais kama magufuli.rais muja mungu 10
@elinurusombi9621منذ 4 سنواتKweli Baba asante Anaweza ni Mungu tu.
@
@robinsoncharles4411منذ 4 سنواتMungu endelea kumfunulia mengi ktk maisha yake na uongozi wake
@
@leaherasto929منذ 4 سنواتRais wangu nakupenda sana Mungu akulinde kwaajili yetu sisi wanyonge 8
@
@leith87seif55منذ 4 سنواتNimefurahi sana kama hii dawa ya madagascar imeagizishwa may be inaaweza kusaidia manake kuna nchi nao wameagiza pia 3
@
@maryamallyjum3229منذ 4 سنواتMm naunga mkono mwenye Iman ya kweli aogopi kufa ila tyu kungekuwa na utaratibu maalum kwa masoko
@
@byaruremabest6816منذ 4 سنواتww nibaba wawatu mungu akubariki sana ww nafamilia yako
@
@captendunga1392منذ 4 سنواتweee ongeaaaaa fungukaaaaaa rukarukaaaaa ila ukae ukijua muda wa kustaafu ukifika tutaandamana mpaka ubaki kwenye hiyo kz hadi mungu apende. tuseme inshaallah. 3
@
@mwajumanjanga4370منذ 4 سنواتMashaalla Allah azidi kukupa pumzi na afya njema rais wetu mzuri
@
@Oman-ik1beمنذ 4 سنواتAllah hatulinde na hili janga inshaallah mungu atatuepusha
@
@nasraabdallah850منذ 4 سنواتAmiin Mwenyez mung atatusaidia iwe yenyekutibu inn shaallah 8
@
@sofiaperpetua7869منذ 4 سنواتHapa kazi tu,, kwa kwenda mbele, Corona Tuache tuko bze,, 2
مقاطع الفيديو ذات الصلة على TUMEAGIZA DAWA YA CORONA MADAGASCA, TUTATUMA NDEGE WATANZANIA WANUFAIKE:
Nice speech kwa kweli. Ndio maana watanzania wakakuchagua uwaongoze. Huwa huyumbagi kwa mambo ya mpito, id="hidden3" class="buttons"> nimependa kuhusu lock down tena ungekuwa vyema kama ungewataja tu.
Uganda: lock down wananchi wanakufa kwa njaa, wengine wanafia kwenye mavarangati ya kugombania chakula. Ubakaji kwa mabinti na unyanyasaji wa kingono kufuatia baa la njaa. Ongezeko la wauzaji miili, hasa maeneo ya mipakani na vituo vya magari makubwa ya mizigo(sababu njia za utafutaji zimefungwa)
Kenya: njaa kwa raia, vurugu na uvunjifu wa amani, matukio ya wizi pamoja na walipa kodi kupigwa na askari. Vifo visivyotegemeka n.k ....وسعت
Daniel na simba
Meshach kina Abednego na moto
Nipeni like 22
Mbariki raisi wetu 1
Asante mheshimiwa Rais 22
Kwaajili ya wajingajinga tuu wanaopandikiza maneno machafu kwa watu wako ndio sababu yanakuwa hivo
Barikiwa sana RAISI MTEULE 1