المدة الزمنية 14:31

IPI HEKIMA YA ALLAH KUWATAKA WAKRISTO KUTUMIA KITABU KILICHO HARIBIWA

بواسطة MWALIMU CHAKA TV
284 مشاهدة
0
10
تم نشره في 2022/01/11

kWA madai ya Waislamu, Injili ilikuwepo duniani ila ilipotoshwa na hatamaye kupotea ndipo Allah akateremsha Quran kama ufunuo wa mwisho; Hata hivyo tunaona kinyume na madai hayo Quran inawataka Wakrsto kuhukumu kwa Injili ‏وَلْيَحْكُمْ أَهْلُ ٱلْإِنجِيلِ بِمَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ فِيهِ ۚ وَمَن لَّمْ يَحْكُم بِمَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ فَأُو۟لَٓئِكَ هُمُ ٱلْفَسِقُونَ ‎ Quran 5: 47. Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu. Sahih International: And let the People of the Gospel judge by what Allah has revealed therein. And whoever does not judge by what Allah has revealed – then it is those who are the defiantly disobedient.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1