المدة الزمنية 2:22

ANAEDAIWA KUMUUA MAMA YAKE NCHINI MAREKANI AKAMATWA DAR ES SALAAM

بواسطة Millard Ayo
117 864 مشاهدة
0
670
تم نشره في 2021/12/24

Wyluva Ngongoseke, Mwanadada wa Kitanzania ambaye mama yake mzazi Catherine Ngongoseke (60) amekutwa akiwa ameuwawa kwa kuchomwa visu nyumbani kwake Texas nchini Marekani, ndiye mtuhumiwa wa kwanza katika mauaji hayo. Mwanadada huyo anahisiwa kufanya mauaji hayo na kukimbilia Dar es Salaam, Tanzania kujificha.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 219