المدة الزمنية 6:29

MMASAI ALIYEISHI ULAYA MIAKA 20 ARUDI BONGO / WAMASAI WAANGUKA / VIDEO VIXEN WA LAVALAVA

157 581 مشاهدة
0
704
تم نشره في 2019/08/25

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 266
  • @
    @lirastanley390منذ 3 سنوات Umeongea vizur sana dada.umewaumbua wajuai.hongera na Mungu akuzidishie 3
  • @
    @sosanhi4109منذ 4 سنوات Hongera sana Dada kama bado unaeza ongea kiswahili vizuri ivo 2
  • @
    @user-zt6eb7re4uقبل 11 أشهر Kweli usisarau Masai du ongera sana dada kwa kipakaji 1
  • @
    @olivernanyaro1191منذ 5 سنوات Nimempenda sanaaa sio ajabu kusahau kiswahili 2
  • @
    @mussalameck4667منذ 5 سنوات Lugha unayotumia muda mrefu na jamii Fulani hua inabadilisha matamshi ya Lugha mama na sio rahisi kwa Mhusika kugundua mpaka aambiwe. Nimethibitisha hili kwa kuzurura kidogo, Bado yupo vizuri sana 2
  • @
    @celinelawrence2015منذ 5 سنوات Jaman msimseme mana ata mimi nimeish Nigeria miaka 7 nikajikuta naongea lafudhi ya knaijeria na nimeishi kenya miaka 11 nimejituta naongea lafudhi ya wakenya id="hidden2" class="buttons"> hii nikawaida alafu ameshawaambia yeye nimasai na wamasai mnajua kama kiwsahili awakijui sasa mnatakaje wabongo acheni uswahili ....وسعت 2
  • @
    @aishaawadhimalokimaloki9953منذ 5 سنوات Hongera dada uko vizur sema binadamu wengine kusema mtu vibaya ni hulka yao kwahio bila majungu hawawez ishi kikubwa jali kazi yako 4
  • @
    @amosikabalata6381منذ 5 سنوات Sijui sisi Wamasai tuna nn asee!? Angekuwa kabila nyingine ungesikia mtanzania aliyeishi ulaya miaka 20! Naipenda sana kabila langu 31
  • @
    @nezryallyan6344منذ 5 سنوات Mie najua hyu alikua ni kimasai kwnda mbele kiswhli sio sna+ na hyo miaka 20 9
  • @
    @muadhinalbashary6728منذ 5 سنوات Mbn anajitahid kuongea vzr unafikil anamiaka mingap ukitoa hiy ishilin aliyoish huk nje na bad anaongea vzr na anaelewek 29
  • @
    @modaxmillano9352منذ 5 سنوات Beautiful, kiufupi unajua na wataona kibongo bongo apa 2
  • @
    @binsultan6981منذ 5 سنوات yaan sjui mmasai anaomekanaj. mm naamin angkua kabla lngne lisngtajwa.ingeandkwa tu. achn ubaguz wa rejareja 16
  • @
    @barakalukumayمنذ 5 سنوات Huyu ukiangalia sura vizuri alienda akiwa mdogo sana ndio maana hata hicho kiswahili alikua hakijui vyema hivyo wala usimshangae kalikua kadogo sana kwa id="hidden3" class="buttons"> sasa kana miaka 28 sasa ona alienda ako na 8 yrs alisoma huko na mengine huko so yuko sawa ....وسعت 13
  • @
    @andrewjosephhezron23منذ 3 سنوات Anajitahidi sana kuongea kiswahili nikiguess pengine aliondoka akiwa na miaka 6 arafu mmasai 20 ulaya it's not easy hongera
  • @
    @johnkieru6347منذ 5 سنوات Maajabu miaka ishirini na bado anaeza zungumza kiswahili 4
  • @
    @benjaminmollel8833منذ 5 سنوات eeeh Mungu dah cc haina maaana cyo watanzania amaaa 3
  • @
    @awadhirajabu7754منذ 5 سنوات Mbona Watanzania Baazi Vipi Uyu Alikaa Ulaya Miaka 20 Inamana Alikwenda Wakati Kiswahili Akijui Sana Ivi Amuwajui Wamasai Kiswahili Awakijui Sana Wengi Wao Acheni Wivu Wa Ugonjwa Wa Akili 38
  • @
    @waukweelinikkon6555منذ 5 سنوات Hapo Hata miaka 30 hajafika,na amekaa ulaya miaka 20,Hivyo alikuwa mdogo sana,hawezi kukumbuka kiswahili vizuri jamani,msimcheke 4
  • @
    @gezofeelمنذ 4 سنوات Yechu yuchu, nimempenda huyo MANZI chalii wangu!.
  • @
    @flavour_full741منذ 5 سنوات Nimeishi ulaya miaka ishirini pia ayaayaaiii . I just counted and was shook. 1
  • @
    @zahramohammed846منذ 5 سنوات Mi nakataa watoto wangu wamezaliwa ulaya wanakiswahili kizuri kuliko yeye. 1
  • @
    @msafirlaizer2368منذ 5 سنوات My advice kwa huyu dada. Ajipendekeze kwa Rosa Ree 14
  • @
    @mathiashussein552منذ 5 سنوات msitoe mifano ya ulaya hapahapa bongo unajua kunawatu wanatoka vijijini wanakuja mjini na kule alikotoka alikuwa anaongea lugha vizuri lakin kuja mjini id="hidden5" class="buttons"> amekaa miaka sita kuja kurudi kijijin kuongea lugha hawezi ila wenzie wakiongea yeye anaskia na kuelewa kila kitu ila kuongea ndio inakuwa ngumu kwake hiyo ipo so sipingani na hiro for me ....وسعت 8
  • @
    @alexchungu9505منذ 5 سنوات First language yake ( kiswahili) imekuwa affected by second language , thus why accent yake ni tofauti in terms of her pronouncition.
    Ila sio anajifanya id="hidden6" class="buttons"> kasahau kiswahili.. yan ni very simple logic watu wanashindwa kuelewa.
    ....وسعت 22
  • @
    @stumay-wx9rpمنذ 5 سنوات Simcheki huy Dada ukiish na watu siy lugh yako utakuwa unashindwa. Tuko wote wasikuchek 5
  • @
    @jacquelinosmond221منذ 5 سنوات Mbona wamasai wengi kiswahili ni shida ?huyu anajitaidi sana mbona.Mimi pia nilimsikiliza hamorapa kakaa Kenya miezi miwili sjui mitatu keshasahau kiswahili,shkamoo hamorapa 1
  • @
    @deezotv8966منذ 5 سنوات Imagine ameishi 20 years Ulaya, na bado tunapang chumba nae Naitaji bahti kma hiyo mm kwenda huko 6
  • @
    @abymedia9842منذ 5 سنوات Kiswahili anajua tena sana tu. sema Accent ndio shida coz ya lugha aliokua anatumiaaa. ni sawa tu na mtu kuongea lugha ya kijijin kwao kwa lafudhi ya kibongo. 5
  • @
    @ayoubwakanai6863منذ 5 سنوات Mtangazaji na wengineo mjue Bongo ni Tanzania. Neno hili lilibuniwa na mabaharia wa zamani na walipokuwa wakilitamka ni katika hali ya kusikitisha sana. 1
  • @
    @allymngwaya9855منذ 5 سنوات Watu mjiongeze, ameishi Ulaya miaka 20 ukiangalia umri wake ina maana alienda akiwa mdogo sana kwa hiyo kutokuwa na fluency katika Kiswahili siyo kosa lake. 2
  • @
    @aketchjob6156منذ 5 سنوات Give her a break. Kiswahili is not a basic need 18
  • @
    @Kifyasiمنذ 5 سنوات Acheni mambo yaajabu, kwasababu mm nimeondoka kwetu mwakajana lakini nimeshasahau lugha yetu ya kihehe, nawaza nikiludi sijui ntakua mgeni wanani 9
  • @
    @barakastephano6144منذ 5 سنوات Huyu demu anaongea saut kama Gabo Zigamba 1
  • @
    @muadhinalbashary6728منذ 5 سنوات Tuachen majungu jmn kn wengin miak miwil tu anajifany hajui kiswahil 1
  • @
    @HABIBULLAH-nd9ftمنذ 5 سنوات Mi nakwambien hakuna kabila lililo baki tz ambalo bado linatunza mila kama wamasai hivyo mmasai vigum sana kusahau mila na lugha yake husika hata ingekuwa id="hidden11" class="buttons"> miaka sabiin hutasahau vip lugha yako nakama utasahau utaanzaje vip? Kwa mfano???? ....وسعت 1
  • @
    @maryamabdalahmakyalue40منذ 5 سنوات Tena sasa ngoja niwachane, huyo dada angekua na mashauzi, angeongea kingerez kingi kiswahili ingekua anadokoa, sas njoo kwa wadad wa bongo movie 10
  • @
    @mercynayian3097منذ 5 سنوات Lazima mngemention wamaasai?!ghasia nyinyi,huyu mrembo ako tu sawa 1
  • @
    @bonifastarimo9636منذ 5 سنوات Mi nashangaa watu wanamind huyo dada kusahau kiswahili wakati harmorapa kaenda kenya si tatu kiswahili tupa kule 77
  • @
    @lucasmhagama8166منذ 3 سنوات Kwa nini usuandike Mtanzania aliyeishi Ulaya miaka 20 kwani kwa Mmasai imekuwa ishu
  • @
    @ackshuba8679منذ 5 سنوات Yaan ukimsikiliza huyu Masai utakugunduwa kuwa hapo alipo hajui yuko dar au arusha. Yeye anajuwa tu yuko Tanzania
    Kama huamin angalia kuanzia dakika id="hidden13" class="buttons"> ya hadi 6.1
    ....وسعت 7
  • @
    @RachelLeonardمنذ 5 سنوات I love this girl course she spoken swahili more than English, as athers who speak swahili when they beck in theirs village they do speak swahili more than mother language 4
  • @
    @sarahhaule3964منذ 5 سنوات Matako nyie inamana mmsai wana nchi yao au niwatanzania wenzetu, kwann msingeandika Mmasai mtanzania 5
  • @
    @natalyajacson8328منذ 5 سنوات Nikwamba amekwend ulaya tokea 1999 so miaka kidogo musimlaumu banaa 6
  • @
    @shifamakame4622منذ 5 سنوات Nipo omani tn siishi na waswahili naishi na waarabu safi ela kiswahili km chote naaza VP kusahau kw mfano 5
  • @
    @mosquitoonlinetv2740منذ 5 سنوات Lulu huyo kamasai cha watu anae bisha abishane xaxa na ukwel
    kiufupi ni Mmasai na anaishi ulaya
    tena n juz kat 2 hapo amerudi tena
    3
  • @
    @lissagloo350منذ 5 سنوات Naona watu wanasema kiswahili chake jaman amekaa ulay good 20 years means alikuwa anaongea kingereza masaa 24 lazima asahau kiswahili 3
  • @
    @kadijakk6384منذ 5 سنوات Jamani lakni mbona huyu dd anajitahidi sana kuongea kiswahili kwani si akiwa kule ulaya anaongea kingereza nakimasai mbona wabongo wakiurizwa kdogo no coment lakn huyu cjasikia no ciment 6
  • @
    @farajalaizer4669منذ 5 سنوات Mmasai hasahau asili yake Neva ever, uyu uzungu mwingi 1
  • @
    @primitiveguy2026منذ 5 سنوات ukiishi ulaya kwa nchi amuongei kiingereza kwa miaka 20,lazma kiswahili kiwe na lafidha ya iyo kijerumani ivi 6
  • @
    @bathshebamchuza2648منذ 5 سنوات inategemea kua alkua anazungukwa na akna nan huko ulaya, km we uko ulaya unazungukwa na wabongo wenzako unadhan lafudh yako itakua ya kzungu km huyo, 7
  • @
    @footballkingz5223منذ 5 سنوات Kwa kweli sijisifu, bali nipo Ulaya kwa takriban miaka 27 lakini kiswahili changu ni kilekile cha nyumbani kwa kifupi nikikutana na wewe huwezi kujua ya id="hidden17" class="buttons"> kwamba naishi ughaibuni kwa kiswahili changu kilivyo fasihi, ni mpaka mwenyewe nikwambie naishi ughaibuni, huwezi kuamini. ....وسعت 18
  • @
    @maliethnyoni2847منذ 5 سنوات Haya mahojiano yamenifanya mpk niludie mara tatu maana ata sijaerewa kinaongereka nn jmn 8
  • @
    @billionaireemmaمنذ 4 سنوات Diamond plantiumz ampiga lavalava kisa zari na watoto wake HUONDO
  • @
    @shahadaushindi7745منذ 3 سنوات Acheni wivu nyie wabongo mi niliishi mahali fulani tu kiswahili accent ikabadilika. Ukienda kwa mwenye chongo vunja lako jicho ili muendane. Kwa hiyo wanao id="hidden19" class="buttons"> mkejeli huyu dada na wao waende huku waone. huku alikuta na wakina rick ross' Mick mill, gunit, Barack obama sa unategemea ataremba? Acheni wivu ....وسعت
  • @
    @fatmakhanii1676منذ 5 سنوات Acheni ushamba wamasai hata wasipo enda nje kiswahili chao nishida hapo kajitahidi sana wala hajaongea kizungu 1
  • @
    @charlesmassawe6321منذ 5 سنوات Hata ukiishi ulaya miaka 30 ni vigumu kusahau lugha mama. 17
  • @
    @lillianeriksson8183منذ 5 سنوات Mie nimekaa ulaya miaka 19 sitaweza kujifanya sijui kiswahili 2
  • @
    @thomasmaphior79منذ 5 سنوات We masai jielewe nini ulaya sema nilikua Italian ivi mimi nikisema African utafahamu wapi funguka kama Italian 3
  • @
    @jarsaduba2626منذ 5 سنوات Kuishi ulaya miaka 20 ni kwamba kiswahili unasahau acha kutuchocha we Dada 2