@zubedamagambo9600منذ 3 سنواتHapo ni kuachana tu. Aendelee na huyo aliekuwa nae siku hiyo. 7
@
@Sppah697منذ 3 سنواتAlienda kuaga Kwa Mwanamke wake wa zamani! 6
@
@AliMohamed-kd1ucمنذ 3 سنواتDada huna kitu hapa bado hakuna cha ndoa hapo 2
@
@janefrolakalinga5664منذ 3 سنواتpatrick noma alienda kuaga kwa mchepuko matokeo yake akaloekew nguo ili asitoke hahahaa dada huna mume apo pole sn 4
@
@nurafedrick378منذ 3 سنواتHuyo alikuwa namwanamke inje alienda kumuagaa akafungiwaa ndani naifunguo zikafichwaa .hapo ndoa hakuna tena 3
@
@fatmaabdalla8543منذ 3 سنواتBibi harusi kuwa makini huyo bwana wako hana uaminifu 5
@
@livaliiog1304منذ 3 سنواتLike hapa Kama umeipenda team bongo fastar 14
@
@rahmamngoya9044منذ 3 سنواتMimi pado sija muelewa huyu mwanaume sijui nyie kama mmemsoma 3
@
@moureendaqueenqueen9352منذ 3 سنواتHarusi za siku hizi ni simu,heri customary marriage than certificate marriage 3
@
@salumsalum5712منذ 3 سنواتMimi n Albert Einstein sasa twende kazi 3
@
@jescajulius8023منذ 3 سنواتTena unabahati watu kama nyie mnafaa kukomeshwa kwa makusudi ili liwe fundisho kwa wote wanaoenda kuzin kabla ya ndoa. 1
@
@annamwangaza605منذ 3 سنواتAlirogwa kweli wanaume sio ila kwa kuact wanaweza lazima angefika Arusini ushenzi mwingine ukaendekea
@
@jamilaezekiel6174منذ 3 سنواتDaa huyo alikuwa na mwanamke mwingine na ndio maana alikuwa na mawazo alienda kuagana nae akafungiwa mirango
@
@sharinv8864منذ 3 سنواتKile naeza sema huyo mwanaume huwenda alikuwa freemason so hawakutaka afunge ndoa jamani ina vituko. 1
@
@tamaraseff.9707منذ 3 سنواتHuez jua kihini cha dume uyu.tumuachie yy tu 2
@
@joebanda5475منذ 3 سنواتWanaweke niwachonganish mm slaumu Patrick 5
@
@luciahmwai567منذ 3 سنواتNi wapi wamesema alikua Kwa Bibi mwingine, Patrick alikua amechoka Tuinaezatokea 1
@
@magrethmbuma3045منذ 3 سنواتLabda alirogwa huyu mbwa kwann asiende sikuzote kupumzika aende siku ya harusi mijanaume sijui ikoje yaani???? 3
@
@monicaalute3143منذ 3 سنواتYaan mwanaume km huyu, dawa yke nikumzalia watoto 10 na wote hawatakuwa wake. Nitahakikisha kipindi cha mimba zote nitamsumbua, watoto wote atawalea na kuwasomesha vzr period.
@
@shamzone388منذ 3 سنواتHuyo bwana harusi alikwenda kwa kimada chake lakini alitiliwa dawa za kulaza ndio alilala mpaka siku ya pili. Ukiwa ni mwanamme una kimada nje id="hidden3" class="buttons"> siku yaharusi na bi harusi mwengine nakushauri usiende kwa kimada chako yatakukuta hayo au mauti . ....وسعت3
@
@shamzone388منذ 3 سنواتHuyo bwana harusi alikwenda kwa kimada chake lakini alitiliwa dawa za kulaza ndio alilala mpaka siku ya pili. Ukiwa ni mwanamme una kimada nje id="hidden5" class="buttons"> siku yaharusi na bi harusi mwengine nakushauri usiende kwa kimada chako yatakukuta hayo au mauti . ....وسعت3
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MWANAUME alitoweka SIKU YA HARUSI yake,siku ya pili AKARUDI lakini JIBU LAKE lilishangaza DUNIA:
Ukiwa ni mwanamme una kimada nje id="hidden3" class="buttons"> siku yaharusi na bi harusi mwengine nakushauri usiende kwa kimada chako yatakukuta hayo au mauti . ....وسعت 3
Ukiwa ni mwanamme una kimada nje id="hidden5" class="buttons"> siku yaharusi na bi harusi mwengine nakushauri usiende kwa kimada chako yatakukuta hayo au mauti . ....وسعت 3