المدة الزمنية 45:40

LIVE - MWADUI FC VS YANGA SC, UCHAMBUZI KABLA YA MECHI -

بواسطة Azam TV
27 627 مشاهدة
0
163
تم نشره في 2020/06/13

Ni mechi ya kwanza tangu ligi isimame Machi 17, 2020. Ni Mwadui FC vs Yanga ikipigwa kwenye Dimba la Kambarage, Shinyanga. Fuatilia uchambuzi huu na yote yanayojiri kabla ya mechi ukiungana na Ahmed Ally akiwa na James Samwel pamoja na Rashid Seif ndani ya Studio. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8