المدة الزمنية 24:41

Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu addresses media in Nairobi

بواسطة KTN News Kenya
406 230 مشاهدة
0
721
تم نشره في 2018/01/05

Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu addresses media in Nairobi after being hospitalized for 4 months SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: / Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 182
  • @
    @mamafaiza2651منذ 4 سنوات Nalia nikikumbuka duh mungu nimwema
    Mungu akupe maisha marefu yenye khery
    AmeeN
    Nakupenda sana kiongozi wangu..
    2
  • @
    @deodbenngowi2039منذ 4 سنوات This man if he did not know who attacked him he will not have allowed him to hide from being questined by the authorises he declared by saying him with id="hidden1" class="buttons"> the driver were the only witnesses. His driver has never gone to any authorises person to let us know what he knows about the issue. ....وسعت
  • @
    @baranmohamedmbashir5299منذ 4 سنوات Mungu akubariki inshallah akupe afya njema inshallah 6
  • @
    @scholatitus4963منذ 6 سنوات Rais Magufuli hana haja ya kukushambulia. Umezungumza ujinga mwingi sana. Wachunguzi walioletwa Kenya kuchunguza kifo cha Ouko tuelezee, baada ya uchunguzi id="hidden2" class="buttons"> huo kuna mtu alishitakiwa? Wewe unaongelea mambo haya Kenya ukitegemea suport, unataka nikuhesabie wanasiasa waliopoteza maisha yao Kenya na mpaka leo hakuna mtu aliyeshitakiwa wala uchunguzi wowote? Hata nashindwa kwa nini serikali ikulipie matibabu yako Kwani wewe ni traitor you do not deserve. Muongo mkubwa. Nyinyi mnapigana risasi wenyewe kwa wenyewe Chadema munaisingizia serikali, na ushindwe. ....وسعت
  • @
    @kingfahdsaid1967منذ 6 سنوات Pole lissu mungu akueke.. # usiwache kusema kweli . 7
  • @
    @bakariramadhani828منذ 4 سنوات Tunashukulu kwakuludi ukiwa mzima mungu awenawe daima 3
  • @
    @macksonjuma5180منذ 4 سنوات Kama uko hapa kuhakikisha, kulingana na kampeni zinazo endelea. Weka like 4
  • @
    @stivngosha1063منذ 4 سنوات Sema kabisa usiogope mungu yupo atakupigania 3
  • @
    @marykawira9266منذ 6 سنوات God is great, you will live to testify goodness of God,God loves you, muheshimiwa, devil is alier and loser 6
  • @
    @edmundykusena9728منذ 4 سنوات Niko hapa_2020 kqma nawewe upohapa tafadhali tujuane 1
  • @
    @gilbertjuma7294منذ 6 سنوات Tunakuombea upone kabisa urudi upige kazi Tz. Tunakuhitaji sana 3
  • @
    @sylvanuskavindi2756منذ 4 سنوات Zilikuwa siku mbaya sana kwangu, ilinisikitisha sana, fuatilia sauti yake Lissu hapa ilivyokuwa inatoka ikiwa chini kwa sababu ya kutobolewa vibaya tumboni. Lkn Mungu ni mkuu daima 1
  • @
    @thelylwishi2332منذ 4 سنوات Maishaa so www vi na damu.
    Maishaaa ni Mungu tuuu.
    2
  • @
    @bathromeombusibwaconrad2546منذ 4 سنوات Smg ninayoijua ungeishia risasi moja tu,,,, hapa kuna jambooo
  • @
    @jimmy24276منذ 6 سنوات Inauma sana kwa waliohusika na kama wanasikia ujumbe huu waanze kutubu, siku zao zaja na watauona uwepo wa MUNGU 9
  • @
    @mamadfranc2371منذ 6 سنوات Tumuachie Mungu! Maana yy huhukumu kwa haki. Tuendelee kuomba 5
  • @
    @frankmosha5854منذ 4 سنوات Kupigwa kwa huyu jamaa ni doa kubwa mbaya zaidi watu wasiojulikana aingii akilini ila mjue Mungu yupo 5
  • @
    @kiangurajason793منذ 3 سنوات God is great. Ulipona Lissu. Aliyekufa ni yeye: Magufuli.
  • @
    @thelylwishi2332منذ 4 سنوات Na ku ona kama yesu Christ.ume pigwa kama yesu Christu na Mungu Baba yako,ame kurudisha duniyani ku okowa wa tanzania.
    Be strong President,Mdaa so mlefu.
  • @
    @kibwanambegu9572منذ 4 سنوات Yaani kweli hajui maana ya intenal medicine kwa kiswahili au mbwembwe
  • @
    @frankmosha5854منذ 4 سنوات Ila mliompiga mjue maalipo ni hapa dunia 1
  • @
    @musamutambuki4154منذ 6 سنوات Hakika Mungu ni MKUU na ni TABIBU wa kweli. Tunakutukuza Eeee Mungu kwa kuwa fadhili zako ni za milele maana umejibu maombi yetu kwa kumponya kiongozi wetu mpendwa Tundu Lissu. 22
  • @
    @fatumayusuf5929منذ 6 سنوات Weka security kali bcoz watakurudia tena they willi not stop 7
  • @
    @mtendakaziwabwana845منذ 6 سنوات Itapendeza mkiupload video ya muendelezo wa kipindi cha maswali na majibu kwenye hii press 2
  • @
    @tracyjustice1600منذ 6 سنوات Tanzania is going down the drain,it's no longer a safe place to be. Sad 7
  • @
    @amosmoses7800منذ 4 سنوات JPM: nimekueteni hapa ili tupange mikakati mingine ya kushinda uchaguzi. Nawaoneni hamtumiki kama nilivyowaagiza. Nataka kujua tatizo lipo wapi? id="hidden6" class="buttons"> />ALI BASHIRU :
    Mheshimiwa Mwenyekiti ; mbona tunafanya juhudi kubwa ata tunakosa kulala.  ivi tunawabeba  Wananchi kutoka vitongoji mbalimbali kuja kwenye kampeni zako;  kwa mfano kule Mwanza tulikosa watu kabisa ikabidi tuwagalimikie watu kutoka Mikoa ya Geita / shinyaga  na kuwaokota okota humo vijijini hadi Mwanza ili tuongeze idadi ya watu. Mheshimiwa.
    Bila ya ivo. Tutakuwa sisi tunaobaki kukusikiliza.
    POLEPOLE: Mheshimiwa M/Kiti nikiongezea hilo. Tumekuwa tukiwafata Wasanii. Na tunashukulu. Wametupa ushilikiano mzuri. ila tu malipo yao Bilioni 200 bado hawajalipwa.  Mheshimiwa Kinana anasema tuwaalike pia waimbaji kutoka Congo.  Tutapata washabiki wengi. Au unasemaje ?
    JPM : embu Kwanza naona kuna simu ya Rostam ananipigia kutoka Dubai. ..hallo!
    ************
    ROSTAM : halloh!  Mheshimiwa   M/Kiti habali za tokea jana. Nakualifu huku mambo nimeshayasuka.  Tumeelewana na Mheshimiwa Membe. Na hela zake kasema zibaki kwenye akaunti yake ya nje.  Anasema atatekeleza yale maagizo yetu akitua tu huko Bongo. CCM oyeee .
    JPM : Asante sana Rostam.  Uko vizuli. Nataka uyo Membe asaidiane na Lipumba .kuzichafua  ATC na CUF , ila  mambo mengine yanakuwa magumu kwa vile yule kamanda wetu Mzee Mkapa hatunae tena.  Mzee Mwinyi anasinzia ovyo. Mzee kikwete na Mzee makamba wamenisusa. Sijui ataniokoa nani!
    IGP SIRRO:
    Mheshimiwa Laisi. Vijana wangu wapo tayali kwa lolote. Wanasubili amri yako tu. Kama nikutumia lisasi au mabomu tutazitumia kwa Ajili yako. Mheshimiwa.
    JPM:
    Ni kweli. Embu nikusikilize Jaji Kaijage. Unasemaje? Naona unakuna kichwa.
    JAJI KAIJAGE : Mimi naona kuna ugumu wa kuiba kula kwa kipindi hichi. Maana kuna madai hadi muda huu tumeshindwa kuwapa majibu.  Wanadai kwanini Ni wao tu watenguliwe kuanzia Udiwani hadi ubunge. Na kwa upande wetu hakuna ata mmoja tuliemtengua. ??
    JPM : Acha iwe ivo ivo. Watanielewa tu! wanalalamika kujenga kiwanja cha ndege kijijini kwangu chato.  Mimi si nimefata nyayo za walionitangulia?
    Mzee Mkapa ameekeza hadi Afrika kusini ana maHoteli yake kule. Mzee kikwete nae Amejenga sana Kwao Msata.  Na Majumba kibao kwa jina la mtoto wake Rizwani.  ivi trilioni 1.5 nikichukua kuna ubaya gani?
    Naomba tu haya mambo tusiyafikishe huko nje. Yule Jamaa akifahamu atatushambulia kwa mikuki ya chuma! 
    CHANNEL TEN : Mheshimiwa Laisi. Lakini hicho kimbunga si chakawaida.  Huko Tunduma. Mbeya.  Mwanza. Njombe. .Japo umetukataza tusikalibie kwenye Kampeni zao wala kuzilusha,  lakini hicho kimbunga cha Lissu kinasikika hadi ulaya. Hadi Marekani. .Sisi wote tunatekeleza agizo lako kwamba tusilushe kampeni zao. Tatizo wanachukuaga kwenye simu zao.
    JPM : Embu nisubilini kidogo. Naenda kujisaidia.
    ************************
    ....وسعت
  • @
    @jacksondaud4957منذ 4 سنوات Sema baba sema usiogope,Nibola ukweli unaoumiza kuliko uongo unao flahisha,maana nisumu nainaua
  • @
    @fatumayusuf5929منذ 6 سنوات Fatubensuda please go to Tanzania magufuli anafaa afungwe 3
  • @
    @fredrickwanjala741منذ 4 سنوات Hi that's astupid way of political assassination 1
  • @
    @godshanthomas3297منذ 4 سنوات Nenda huko Pumbavu unajipiga lisasi alafu unasema serekali we chizi 2 moja acha ujinga wako
  • @
    @godshanthomas3297منذ 4 سنوات Sikupendi ata bure mwenda wazimu ww sasa unawambia ndio nn ifanyike Kwenda
  • @
    @lgf7297منذ 4 سنوات What is Kaka Mkubwa? This fellow harbours disdain for everyone and everything except himself. There he goes, a harangue!
  • @
    @evancemuhenga5696منذ 6 سنوات Tanzania is really becoming a terror and bloody nation.. Kidnapping of opposition individuals, Notable People dissapearing, more than 1000 children at id="hidden7" class="buttons"> kibiti dissaperaed, dead bodies found in the rivers, press and media centers getting oppressed by the feds, the increasing rate of unemployment, . Tusikate tamaa ....وسعت 6
  • @
    @jarednyakomitta6570منذ 6 سنوات It were better if he was criticizing him from his too,we have had assassinations but we dont address the issues from Tanzania! 1
  • @
    @lucaskabadi8519منذ 4 سنوات Wewe jamaaa unapoelekea unaenda kuwa chizi sion point hata kidoti 2
  • @
    @thekingbudah3711منذ 4 سنوات Madiwani wako wameuwa lazima utalipa mmbwa wewe
  • @
    @teddykanondo5753منذ 4 سنوات Watanzania tusikubali kuburuzwa hawa CCM wana njama gani wanataka kuifanya ndani na nje ya bunge hawataki viongozi wa upinzani tunaowapenda. Hata kama id="hidden9" class="buttons"> CCM hawataki Lissu awe Rais iweje hata Madiwani na Wabunge wa upinzani hawatakiwi na vipenzi vya watu kwenye maeneo yao. Kuna jambo gani limejificha wanataka kutufanyia Watanzania. Tusikubali kuchaguliwa viongozi kabisa. Wanataka Tanzania liwe koloni lao alafu mbaya kabisa Magufuli anatukosanisha na Majirani makusudi wasijue tunachofanyiwa ndani ya Tanzania. (. ....وسعت
  • @
    @manungda9955منذ 4 سنوات Chedema mnatengeneza senema yenu ili Tanzania ionekane haina amani mbele ya Dunia, toa tu shukurani kwa hao Wakenya wenzako mambo mengine ya Tanzania haiwahusu hao Wakenya wako
  • @
    @kiangurajason1183منذ 2 سنوات Jehovah is God. Your tormentor died like the fool he was. Eti hakuna corona and the same corona despatched him to where he belonged: hell. Big up Tundu Lissu.
  • @
    @johnfrancis6890منذ 4 سنوات Kwann usingekufa tu maana ckupend hata kdg 1
  • @
    @gracetitus9963منذ 5 سنوات The gun man is standing near him dressed in black. 1
  • @
    @thekingbudah3711منذ 4 سنوات Na yule uvccm mliomua c mtu ata wewe ungekufa tu unafaida shertani
  • @
    @kichenjekichenje2072منذ 4 سنوات Wataje hao watu,acha upumbavu wew.Cheki unavoweka vidole,kama shoga.
  • @
    @jamesmasome359منذ 4 سنوات Mnapigana risasi wenyewe unasingizia serikali. Nyambafu. 1
  • @
    @yassiniferuzi2867منذ 4 سنوات Rais wa Makuwadi na Mabeberu na Ushoga
  • @
    @jackhans7708منذ 4 سنوات Tatizo ni kwamba walikosea saaaaana,wangepiga hilo domo,risasi 38na mtu yupo hai! naaaaaa
  • @
    @lucaskabadi8519منذ 4 سنوات Watanzania hawakutaki hata kidogo kibaraka mkubwa na kwanini upande ulioumia ni mguu wa kulia na hapo dereva hajaumia hata kidogo inakuwaje hapo wewe ni zuzu kabisa hupati kula hata moja mzee hizo ni kelele la chula
  • @
    @jackhans7708منذ 4 سنوات Kuna wakati Kama kuna mtu anataka kua malaya dawa yake inajulikana.huyu jamaa hajavujwa kiuno kwa risasi,lakini tunajua umefanywa nini ubelgiji