المدة الزمنية 15:31

ZARI Kutua Bongo tutaona mengi, Wakazi wa DAR wafunguka haya, NDOA na Kurudiana vyatajwa, Jionee

بواسطة Simulizi Na Sauti
24 343 مشاهدة
0
345
تم نشره في 2020/11/06

#ZariTheBosslady #DiamondPlatnumz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 104
  • @
    @justinjoshua10594 years ago Wangapi tunataka mondi na mama T warudiane? 61
  • @
    @aliciaalice65754 years ago Zari wetu nakupenda bure ebu monde mufunge ndoa 12
  • @
    @suhelaphilipp1344 years ago I can be one of those happy ones if zari and diamond gets back together. And I wish the wedding as well they look good together I love them so much 3
  • @
    @junuferjinu14444 years ago Duuuu ata watu amjaoji mnachuliliaje kuapishwa kwa RAIS ila ZARI umejua kutu chukuwa akili zetu 9
  • @
    @mukaplatnumz23134 years ago Ongera sana bro kwa kuendelea kupigia ujio wa zari tanzania.
    Ila ni lazima diamond na zari kuowana.
    12
  • @
    @joymsupagladysijeya83844 years ago Wa mwisho anajua kujieleza nimekupenda sana zari kafanya vitu mingi aki olewa na chibu ata tulia alee watoto. Sasa hamisa Natasha wana mziki those 2 big nop wawenzi shidana na diamond apana how cames iyo heshima iwezi kuwa katikati yao but ZARI Aliwacha music ametulia tu uyo ndio afaa kuwa na ming grown up mature person 😍😍😍😍 ... 1
  • @
    @judithmartin28354 years ago Simuliz siku hiv mlikosa kaz sasa ujio wa zari na watoto wake kwa diamond unawahusu nn watu wengn 😂😂😂😂😂 ao ni wazazi wana haki ya kutembeleana acheni kusumbua vichwa watu 20
  • @
    @rehemashafi48094 years ago Bora iwe ndoa kweli mama umesema point 3
  • @
    @rayanndizeyes31614 years ago Mungu awabariki waishi na furaha iyo mama dangoti . 1
  • @
    @mauayusufumauayusufu78624 years ago Hii ni kupiga kura ya ndoa ya diamond na zari, kura zikiwa nyingi ndoa inaipita,
    Kwa hiyo kaka simba na wifi zari Wana jambo Lao hivi karibuni😂
    4
  • @
    @davidndaha96074 years ago Siku ya ndoa mwambie mondi awaalike Tanasha.Wema na Hamisa waje kusheherekea. 9
  • @
    @nambasaashamiah90704 years ago Long live mothers with good message 🙏🙏🙏 1
  • @
    @uddyrusky13234 years ago Huyu bi Magret ametangaza la muhimu zaidi 2
  • @
    @tutakusaidiakupatagari88314 years ago Hawa wamama wameshapata taarifa ya ujio wa Zari 4
  • @
    @leylahleylah45994 years ago Zariii mama T😍😍😍Dada kajipigia promo hapohapo😀😀
  • @
    @abdallahmohammed40594 years ago Mbona waowaji tupo uyo MAGLETY anaonekana anaitaji haswa kuolewa Bado hajachelewa nitumieni namba zake 🛌🤔 7
  • @
    @YusufAli-ib6xu4 years ago Let Diamond enjoy first with his children then think about wedding issues 4
  • @
    @user-xi1pi4zr3b4 years ago Who is more Beautiful?
    Zari- like
    Hamisa-comment
    Tanasha-comment
  • @
    @janeselineselinejane43774 years ago 🤣🤣hamna kitu ya kusema, Zari na diamon tu
  • @
    @sumayahfathi94134 years ago Tanasha nae akae miaka miwili ndo amlete Nassibu junior, watangazaz wa bongo hawana kazi kweli kweli, kweli ajira hakuna, 2
  • @
    @julianacostantine66824 years ago Ni kweli wacha waoane jamani me natamani Sana kwakweli
  • @
    @alibell52464 years ago Jaman mapenz ni watu wawili ss wacklizaji tuu
  • @
    @johngodwin82814 years ago Kweli mbwembwe hazifai 😁😁😂😂😂😂😁kujuludiana
  • @
    @jesusislord36684 years ago Please help someone and explain o dont knothe language well 😳😳😳🙆‍♀️🙆‍♀️🙌🙌🙌 1
  • @
    @honeysweet24044 years ago Yani mitandao ya bongo bora mmfungiwe mana hamna kazi kabisa Bora maguful aone kazi yenu fyiiiiii
  • @
    @janeonyancha26624 years ago Mwanzo zari alitusi watoto wengine aombe msamaha kwa watanzania la sivyo amekula mboga kaacha ugali mkononi yangu macho naenda zangu
  • @
    @tutakusaidiakupatagari88314 years ago Kama umegundua yule mothe nurse yupo SINGLE nae anataka aolewe, wenye age zake nenda tu pale mwananyamala 4
  • @
    @evaakyoo30094 years ago Sijutii kuwa jirani yenu watanzania yani Dada mage hahahahahaha umenifurahisha waaaa 1
  • @
    @binthassancollection.63084 years ago Wakenya hatujuti kua majirani zetu ni wabongo😂😂😂😂😂😂 2
  • @
    @mwanurumpate59864 years ago Tafuta mtoto mbichiiiiiii huyu habaki kuwa mzazi mwenzio bhaaaana
  • @
    @ZaharadaffaZaharadaff4 years ago Huyu wa mwisho ni mimi kabisa yaani kamaliza kila kt
  • @
    @johnshirima61984 years ago KASNETA KIBOKO YA MICHEPUKO
    Kama unahisi mpenzi wako anakusaliti na unahitaji kusoma meseji zake kwa siri bila kushika simu yake na pasipo mpenzi wako kujua kama unaziona meseji zake, ingia PLAYSTORE kisha tafuta Application inayoitwa KASNETA download kwenye simu yako unganisha namba ya mpenzi wako kwenye hiyo Application utaweza kunasa meseji zake zote anazotuma na anazotumiwa kwa kutumia hii App ya KASNETA inapatikana PLAYSTORE ...
  • @
    @kimah98554 years ago Mondi kama ataoa Zari akue mislamu nzuri, koo Zari apeleka watoi kwa kanisa achana na kanisa
  • @
    @tatuali14644 years ago Hatuna raha vipidi vyote zari hamuna Habari nyengine si bidamu wa kawaida tu wacheni ujinga
  • @
    @ashaali71544 years ago Tumetoka kwenye uchaguzi hamuulizi tunakwenda wapi au watu wanategemea nini baada ya uchaguzi munatuletea upuuzi wa watu wanaoishi kwa kudhalilishana tu. SnS munaonekana hamna kazi ya maana sasa munaishi kwa ajili ya hii familia mbona munashusha hadhi yenu kwa kweli. ...
  • @
    @tanzaniatouristsattraction16224 years ago Kha sijaona waandishi wapumbavu wajinga mazwazwa mafala kama nyinyi hivi kweli hata we sky umekosa stori za msingi unahoji watu upumbavu huu yaan nimewashusha 2
  • @
    @simonitaagesti36574 years ago Ujinga mtupu nyie sns mmefulia yaan mnatoka kuoji mtaani mmekosa vyakufanya au ndo kufulia kwa story duh