Tundu Lissu ''Uchaguzi huu ni wa kufa na kupona'' Azungumza kwenye mkutano wa ACT-WAZALENDO
Tundu Lissu anasema "Sisi wanachadema hatutafanya jambo lolote la kuhujumu harakati za miaka mingi za wanzanzibar chini ya Maalim Seif, Akasisitiza: "Uchaguzi huu ni wa kufa na kupona, tukikosea tumekwisha"- Mh Tundu Lissu
Aidha aliongeazea kuwambia wana ATC, "Uchaguzi mkuu huu ni uchaguzi wa kihistoria. Fikiria hii miaka mitano ilivyokuwa, alafu fikiria tuongezee miaka mingine mitano kama hii itakuwaje."
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 12
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Tundu Lissu Uchaguzi huu ni wa kufa na kupona, Mkutano wa ACT-WAZALENDO: