mikate ya ijumaa kuu inayoitwa hot cross buns ni mitanu sana sana na kwenye video ntakuonyesha jinsi ya kupika mikate hii mitamu sana.
unaweza kula mikate hii siku yoyote ila nchi za wenzetu hupika na kula mikate hii siku ya ijumaa kuu.
Naomba ujaribu recipe hii na uniambie umeipenda kiasi gani mikate hii ya ijumaa kuu iitwayo hot cross buns